Button ya 'What is new*

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
Naona button ya 'What is Mew' haipo. Hii ilikuwa inarahisha kusoma posts mpya tu. Itarudi?
 
Naona button ya 'What is Mew' haipo. Hii ilikuwa inarahisha kusoma posts mpya tu. Itarudi?

REKEBISHA HIYO MANENO...pamoja na heading yako Mkuu!

Lakini hiyo kitu ipo, ni wewe tu na haraka zako!
 
Bonyeza sehemu imeandikwa New Posts (Chini ya Logo au Home)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…