Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema hajui aliyekiwa Balozi, Humphrey Polepole, alipo hadi sasa ingawa mara kadhaa alikuwa akikutana naye.

"Kabla ya kuacha kazi aliniambia, nifanyaje? Nikasema sikiliza ridhaa yako, lakini mara ya mwisho nilishuhudia video mtandaoni kwamba ni kwake pamevamiwa."

Butiku amesema hayo, leo, Januari 19, 2026, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu jizee hilo k?!)/(m*#$&+my) zake
 
Butiku umemuuza polepole ,subiri laana ya mama yake ikukumbe tu.
 
Butiku ni msaliti wa Tanganyika.
 
Huyu mzee amekuwa wa hovyo. Nani aliyemwambia kusipokuwa na uchaguzi nchi haina kiongozi.

Hawa ndiyo wazee tuliowaamini kumbe hamna kitu kabisa.
 
Huyu mzee amekuwa wa hovyo. Nani aliyemwambia kusipokuwa na uchaguzi nchi haina kiongozi.

Hawa ndiyo wazee tuliowaamini kumbe hamna kitu kabisa.
 
Huyu mzee kimantiki kabisa ameshiriki kumuuza polepole.

Inaonekana kabisa aliaminiwa ndiyo maana akashirikishwa, eti sikiliza dhamiri yako kwani mie ndo nilimchagua.? Kweli, omba kuomba ushauri kwa wazee kama hawa ni kupoteza muda.

Anashindwa kumsikilza matatizo yake, namna gani ayatatue. Unaishia sikiliza dhamiri yako.

Hizi lugha nyingine ni kujificha tu.
 
Mzee mnafiq sana huyu, ni yeye alimuuza Polepole kwa Mafwele, vizee sampuli hii huku kwetu Usukumani tunapiga shoka moja tu kichwani na kwenda kufukia.
 
Amfokee Samuya amrudishe pokepole na wengine wote waliopotea.
Amwambie Samuya aondoke hajachaguliwa ma Watanzania
 
Asante Kwa kukiri kumuuza Polepole.
 
Anavyofoka ni dhahiri anapambana nahisia zinazomshutumu kuhusiana jambo fulani alilofanya kuhusu kupotea kwa Polepole.

Karma inamtafuna.
 
The spirit of Polepole the gone will haunt him (this old Mzee) wherever He is,He will never know peace together with his perpetrators,
Unakuwa mnafiki at that age?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…