Butiku na Nyerere Foundation yake wako wapi?

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,601
Reaction score
45,557
Mzee Butiku na foundation yake ya Mwalimu Nyerere nakumbuka alikuwa Bingwa sana wa kukosoa serikali enzi za JK.

Wakati huu Watanzania wanaokotwa kwenye sandarusi wakiwa wafu, wanapotea kwa kuikosoa serikali, wanacharangwa mapanga kama nyama buchani na wengine kutunguliwa na risasi kama swala simsikii akisema chochote.

Au ni kwa sababu mtawala wetu wa sasa ametokea ile kanda ya kwao na JK alikuwa Mswahili wa Msoga?
 
Anaogopa kuambiwa anawashwawashwa
 
Usifanye mchezo na smg ajabu yule bwana anapiga magoti kanisani kila uchwao moyoni ana mambo mazito kwa wakosoaji aiseee
 
Wako butiama mkuu maana kwa hali ilivyo hata mimi ningefunga mdomo.
 
Butiku yupo na sio Butiku tuu, hata Jaji Warioba yupo, Mzee Kaduma yupo, Hassy Kitine yupo, Prof. Shivji yupo, Prof. Chirs Peter Maina yupo, na watu wengine wengi waliokuwa very vocal, sasa wametulia tuli, wote hawa wanajua kusoma na kuandika hivyo wameisoma number.
P.

Mkuu hawa waungwana ina maana wamekubaliana na jinsi hali ya mambo ilivyo? Au zilikuwa chuki zao tu kwa Mswahili mwenzangu wa Msoga?
 
Mzee Butiku na foundation yake ya Mwalimu Nyerere nakumbuka alikuwa Bingwa sana wa kukosoa serikali enzi za JK.

Wakati huu Watanzania wanaokotwa kwenye sandarusi wakiwa wafu, wanapotea kwa kuikosoa serikali, wanacharangwa mapanga kama nyama buchani na wengine kutunguliwa na risasi kama swala simsikii akisema chochote.

Au ni kwa sababu mtawala wetu wa sasa ametokea ile kanda ya kwao na JK alikuwa Mswahili wa Msoga?
Yule Mzee njaa tu, ameua legacy ya Mwalimu hivi hivi tunaona!
 
Butiku yupo na sio Butiku tuu, hata Jaji Warioba yupo, Mzee Kaduma yupo, Hassy Kitine yupo, Prof. Shivji yupo, Prof. Chirs Peter Maina yupo, na watu wengine wengi waliokuwa very vocal, sasa wametulia tuli, wote hawa wanajua kusoma na kuandika hivyo wameisoma number.
P.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom