Butiku awataja maadui wa serikali tatu...

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803

Thursday, April 24, 2014

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa jukwaa la asasi za kiraia na kigoda cha Mwl. Nyerere Foundation Mzee wetu Butiku, akifunguka kwa wajumbe wa jukwaa la asasi zisizo za kiserikali mapema hii leo.Butiku amesema bila kuuma maneno kuwa mchakato wa katiba unachezewa na watu wawili LOWASA na maalim SEIF kwa maslahi yao binafsi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa kile kinachodaiwa ni kuwatolea uvivu maadui namba moja wa mchakato wa katiba usikamilike kwa amani, mjumbe wa rasimu ya walioba leo hii ameibuka na kufichua mambo mazito huku akiwataja hadhalani wabaya wa mchakato wa katiba ambao wanapinga mchakato wa serikali tatu ulipendekezwa na tume ya rasmu ya katiba

Akitumia, mkutano mkuu wa asasi zisizo za kiraia za ukanda wa maziwa mkuu, mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya licha ya matusi mbalimbali kuelekezwa katika tume hiyo, leo hii ameibuka na kusema ya moyoni huku akionekana wazi kukerwa na vigogo wawili wanaopandikiza chuki kwa wanachama wao ili ibaki serikali tatu waweze kutiomiza matakwa yao ya kisiasa,

Aliyefunguka na kutoa ya moyoni leo hii si mwingine ni bali ni mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu Foundation, MZEE WETU Butiku, ambaye amewataja mapapa yanayotaka mchako wa katiba uwanufaishe maslahi yao huku wananchi walio wengi matatizo yao yakiacha solemba,

Amewataja viongozi hao ambao wamekuwa na ushawishi mkubwa katika vyama vyao kuwa ni pamoja na Mbunge wa Monduli kupitia chama cha CCM, Mh. edwadi Lowasa, pamoja na katibu mkuu wa chama cha wanachi CUF, na kusema kuwa watu hao wasipobadilika hatima ya serikali tatu hapa nchini ni ndoto.

Butiku ameenda mbali na kusema, inashangaza kuona watu hao ambao wanaushawishi mkubwa sana, wameamua kulivalia njuga suala la serikali mbili huku wao wenyewe wakishindwa kutoa hoja za msingi na badala yake wanatumia watu wanaowaongoza kutumbukiza hoja zao ambazo zinawanufaisha wenyewe,

Butiku amesema tokea mchakato wa kubadili katiba ya wananchi uanze, viongozi hao wameonekana kuupinga, kwa kupandikiza watu wao katika mikutano ya kukusanya maoni, ambapo kumekuwa na mgawanyiko mkubwa wa baadhi ya watu kutoa hoja ambazo zimeonekana wazi kutaka kuwanaufaisha watu fulani,

Walioba alipomaliza kusoma rasimu ya katiba pale bungeni Dododma, Lowasa alinifuata na kuniamkia kisha akasema Kama hoja tu mmejitahidi kujenga, siku ya pili yake katika mazishi pia Lowasa huyohuyo alinifuata tena na kuniambia hata wewe unataka serikali tatu kweli.!!!!!!, nikamwambia hilo ndilo wanaanchi wanataka Asema butiku huku akionyeshwa wazi kukerwa na hali inayoendelea huko bungeni.

[TD="class: tr-caption"]wadau wakifuatilia kwa makini sana.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Aidha Butiku ameendelea kubainishwa wazi kuwa rais wa wananhi, JK alishirikishwa kila idara, Jeshi la wananchi nao walishirikishwa kikamilifu na walitoa maoni yao na kwamba uvumi unaovumishwa kuwa jeshi litachukua nchi haina mashiko na badala yake wanataka kuwatsiha wananchi ili wasiweze kupata katiba ya maridhiano ambayo wananchi wanaitaka.

Unakuta mtu anaamka asubuhi anaanza kusema ooh nchi itachukuliwa na wanajeshi, hiyo si hoja , hoja ni kwamba wananchi wanataka nini katika katiba yao, aliongeza Butiku,

Mzee huyo alijipambanua kwa kusema yeye hana mali na amerithi nyendo za Mwl. Kambarage, za kuwatumikia wananchi wa kitanzania, amewaasa watanzania kuhakikishwa kuwa wanajifunga kibwebwe kutetea haki yao la sivyo katiba ambayo itaendaa kuundwa itakidhi matakwa ya watu fulani

Watafiti wa mambo wanasema maarim seif anataka serikali tatu ili aweze kuwa raisi kamili kule zanziba kwani Chama cha CUF ndicho chenye nguvu sana kule Zanziabar, wakati Lowasa anapigania serikali mbili ili awe na nguvu pande zote mbele kama akipishwa kuwa rasi wa jahuri ya muungano.

Posted by SELEMANI MAGARI

...

.....Aliyefunguka na kutoa ya moyoni leo hii si mwingine ni bali ni mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu Foundation, MZEE WETU Butiku, ambaye amewataja mapapa yanayotaka mchako wa katiba uwanufaishe maslahi yao huku wananchi walio wengi matatizo yao yakiacha solemba......

Amewataja viongozi hao ambao wamekuwa na ushawishi mkubwa katika vyama vyao kuwa ni pamoja na Mbunge wa Monduli kupitia chama cha CCM, Mh. edwadi Lowasa, pamoja na katibu mkuu wa chama cha wanachi CUF, na kusema kuwa watu hao wasipobadilika hatima ya serikali tatu hapa nchini ni ndoto.......
 
Huko tunakokwenda tutashuhudia makubwa,Acha nitayarishe popcorn zangu maana naona kama movie ndiyo imeanza vile!!!!??
 
Rais anataka serikali mbili lakini lawama anatupiwa Lowassa!!
ajabu sana,ndo maana nasemaga huyu butiku hanaga point,anatumia jina la kigoda cha nyerere kujinufaisha wakati hana hata nia ya kumuenzi nyerere.
 
Kumbe butiku naye mburula kiasi hiki hapa malimu sefu na lowasa wanaingiaje atwambie namna Lowasa na Maalimu sefu wanavyoweka watu wao kusimamia serikali mbili.

Butiku hana hoja aache jazba wakati wao umekwisha sasa ni zamu ya bunge la katiba.

watu kama butiku yafaa watiwe bakora hakuna hoja anayojenga zaidi ya kutuhumu watu hovyo bila sababu za msingi.

Hii tume kumbe ilikuwa na watu waajabu sana kama hoja zenyewe ndiyo hizi.
 
Why luwasa and not kikwete?maalim seif wapi problema nawakati yy anafuata rasimu km mlivyowasilisha?jipange tna butiku
 
ajabu sana,ndo maana nasemaga huyu butiku hanaga point,anatumia jina la kigoda cha nyerere kujinufaisha wakati hana hata nia ya kumuenzi nyerere.
Kwanz anatakiwa kufukuzwa kwenye kigoda cha walimu naona anataka afuatwe apewe hela na akina Lowasa na seifu kwa manufaa yake namshauri Lowasa na sefu wampuuzi tu.
 
Mtawashambulia wote wanaotetea serikali tatu isipokuwa wale wa Bungeni.Double standard at its worst.
 
Kwanz anatakiwa kufukuzwa kwenye kigoda cha walimu naona anataka afuatwe apewe hela na akina Lowasa na seifu kwa manufaa yake namshauri Lowasa na sefu wampuuzi tu.

Hana tamaa ya hela kama nyinyi,Yule anaongozwa na uzalendo wa ukweli kwa Taifa lake la Tz.Hivi mlipiga mkwara vile?Teh teh teh!Mmesahau kwamba Butiku anatokea kwenye mkoa wa watu majasiri na mashujaa?Kwa afande Chacha na afande Mwita?
 
Kilicho nifurahisha ktk hotuba hii nikupangua kikamilifu hoja za jeshi kupindua nchi kuwa ni hoja dhaifu. Vitisho vya ccm kwa wananchi vitaisha lini? Kila wakiona siasa zinawaendea kombo wanatishia wananchi...huku udhaifu wa hoja ukitawala...sasa nani anataka kupindua nchi kam SI ccm? Mwaka huu hadanganyiki mtu (mtaendela kula vya kunyongwa mpaka lini).
 
Thursday, April 24, 2014

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa jukwaa la asasi za kiraia na kigoda cha Mwl. Nyerere Foundation Mzee wetu Butiku, akifunguka kwa wajumbe wa jukwaa la asasi zisizo za kiserikali mapema hii leo.Butiku amesema bila kuuma maneno kuwa mchakato wa katiba unachezewa na watu wawili LOWASA na maalim SEIF kwa maslahi yao binafsi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa kile kinachodaiwa ni kuwatolea uvivu maadui namba moja wa mchakato wa katiba usikamilike kwa amani, mjumbe wa rasimu ya walioba leo hii ameibuka na kufichua mambo mazito huku akiwataja hadhalani wabaya wa mchakato wa katiba ambao wanapinga mchakato wa serikali tatu ulipendekezwa na tume ya rasmu ya katiba

Akitumia, mkutano mkuu wa asasi zisizo za kiraia za ukanda wa maziwa mkuu, mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya licha ya matusi mbalimbali kuelekezwa katika tume hiyo, leo hii ameibuka na kusema ya moyoni huku akionekana wazi kukerwa na vigogo wawili wanaopandikiza chuki kwa wanachama wao ili ibaki serikali tatu waweze kutiomiza matakwa yao ya kisiasa,

Aliyefunguka na kutoa ya moyoni leo hii si mwingine ni bali ni mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu Foundation, MZEE WETU Butiku, ambaye amewataja mapapa yanayotaka mchako wa katiba uwanufaishe maslahi yao huku wananchi walio wengi matatizo yao yakiacha solemba,

Amewataja viongozi hao ambao wamekuwa na ushawishi mkubwa katika vyama vyao kuwa ni pamoja na Mbunge wa Monduli kupitia chama cha CCM, Mh. edwadi Lowasa, pamoja na katibu mkuu wa chama cha wanachi CUF, na kusema kuwa watu hao wasipobadilika hatima ya serikali tatu hapa nchini ni ndoto.

Butiku ameenda mbali na kusema, inashangaza kuona watu hao ambao wanaushawishi mkubwa sana, wameamua kulivalia njuga suala la serikali mbili huku wao wenyewe wakishindwa kutoa hoja za msingi na badala yake wanatumia watu wanaowaongoza kutumbukiza hoja zao ambazo zinawanufaisha wenyewe,

Butiku amesema tokea mchakato wa kubadili katiba ya wananchi uanze, viongozi hao wameonekana kuupinga, kwa kupandikiza watu wao katika mikutano ya kukusanya maoni, ambapo kumekuwa na mgawanyiko mkubwa wa baadhi ya watu kutoa hoja ambazo zimeonekana wazi kutaka kuwanaufaisha watu fulani,

Walioba alipomaliza kusoma rasimu ya katiba pale bungeni Dododma, Lowasa alinifuata na kuniamkia kisha akasema Kama hoja tu mmejitahidi kujenga, siku ya pili yake katika mazishi pia Lowasa huyohuyo alinifuata tena na kuniambia hata wewe unataka serikali tatu kweli.!!!!!!, nikamwambia hilo ndilo wanaanchi wanataka Asema butiku huku akionyeshwa wazi kukerwa na hali inayoendelea huko bungeni.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]wadau wakifuatilia kwa makini sana.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Aidha Butiku ameendelea kubainishwa wazi kuwa rais wa wananhi, JK alishirikishwa kila idara, Jeshi la wananchi nao walishirikishwa kikamilifu na walitoa maoni yao na kwamba uvumi unaovumishwa kuwa jeshi litachukua nchi haina mashiko na badala yake wanataka kuwatsiha wananchi ili wasiweze kupata katiba ya maridhiano ambayo wananchi wanaitaka.

Unakuta mtu anaamka asubuhi anaanza kusema ooh nchi itachukuliwa na wanajeshi, hiyo si hoja , hoja ni kwamba wananchi wanataka nini katika katiba yao, aliongeza Butiku,

Mzee huyo alijipambanua kwa kusema yeye hana mali na amerithi nyendo za Mwl. Kambarage, za kuwatumikia wananchi wa kitanzania, amewaasa watanzania kuhakikishwa kuwa wanajifunga kibwebwe kutetea haki yao la sivyo katiba ambayo itaendaa kuundwa itakidhi matakwa ya watu fulani

Watafiti wa mambo wanasema maarim seif anataka serikali tatu ili aweze kuwa raisi kamili kule zanziba kwani Chama cha CUF ndicho chenye nguvu sana kule Zanziabar, wakati Lowasa anapigania serikali mbili ili awe na nguvu pande zote mbele kama akipishwa kuwa rasi wa jahuri ya muungano.

Posted by SELEMANI MAGARI

Kuna,mambo yanakera sana huu ni upumbafuuu,inamaana hata akina Membe na Wassira wanatetea hoja ya Lowwasa,haya Mazee bora yafe maana yanazeeka vibaya.

Unawezaje kuuhusisha mchakato huu kwamba Lowwasa ndo anakwamisha?
 
Hapo napingana na Mh.Butiku kwa 75% kwani Lowasa hana ushawishi kwa Samwel Sita,Benard Membe,OleSendeka,Mwakyembe,Ane Kilango, Husein Mwiny,Paulo Makonda,Nape Nnauye, JK ,AnnaTibaijuka na Wengine wengi ambao ni watu maarufu ndani na nje ya Chama (ambao wote wanataka serikali mbili)
Hapo amemwonea Legwanani.
 
Kumbe butiku naye mburula kiasi hiki hapa malimu sefu na lowasa wanaingiaje atwambie namna Lowasa na Maalimu sefu wanavyoweka watu wao kusimamia serikali mbili.

Butiku hana hoja aache jazba wakati wao umekwisha sasa ni zamu ya bunge la katiba.

watu kama butiku yafaa watiwe bakora hakuna hoja anayojenga zaidi ya kutuhumu watu hovyo bila sababu za msingi.

Hii tume kumbe ilikuwa na watu waajabu sana kama hoja zenyewe ndiyo hizi.

akili zako mavii kabisa.......ameonyesha influence yao kupitia vyama vyao...kwan wewe ccm kulopoka kule Dodoma unadhan n bure?
 
Wale wanaojua uraisi wa makundi wataelewa hapa ni raisi wa mwakani wapya ndani ya utawala wa katiba mpya km itapatikana kweli na mamlaka kamili ya zanzibar
 
Hata pesa za Sabodo mlizokula alisababisha LowwasaFuumbafu,viongozi wengine wanakera

Hotuba ha mkuu wa nchi pia alikua anahutubia matakwa ya Lowwasa?

Ifike mahali watu waache kuficha ushetani wao kwa mh Lowwasa.

Hivi ni kupumbazika kwa Butiku
 
Mzee Butiku ni kichaa,kama kweli kasema haya hakika ni kichaa

Hivi kila lawama iende kwa Lowwasa ifeke mahali huyu mzee aheshimiwe
 
Back
Top Bottom