Butiku awataja maadui wa serikali tatu...

kwa busara angenyamaza... ila atetee maoni ya serikali tatu na namna itakavyimnufaisha layman na maskini kama mimi.... masuala ya kutajana hatabaki mtu
 
Kumbe butiku naye mburula kiasi hiki hapa malimu sefu na lowasa wanaingiaje atwambie namna Lowasa na Maalimu sefu wanavyoweka watu wao kusimamia serikali mbili.

Butiku hana hoja aache jazba wakati wao umekwisha sasa ni zamu ya bunge la katiba.

watu kama butiku yafaa watiwe bakora hakuna hoja anayojenga zaidi ya kutuhumu watu hovyo bila sababu za msingi.

Hii tume kumbe ilikuwa na watu waajabu sana kama hoja zenyewe ndiyo hizi.
Macho yangu au? Eti mjepo unasemaje???
 
Last edited by a moderator:
ajabu sana,ndo maana nasemaga huyu butiku hanaga point,anatumia jina la kigoda cha nyerere kujinufaisha wakati hana hata nia ya kumuenzi nyerere.

Weka wewe point zako tuzisome sio kuja hapa na upuuzi wako kwa malipo ya buku saba.
 
Kumbe butiku naye mburula kiasi hiki hapa malimu sefu na lowasa wanaingiaje atwambie namna Lowasa na Maalimu sefu wanavyoweka watu wao kusimamia serikali mbili.

Butiku hana hoja aache jazba wakati wao umekwisha sasa ni zamu ya bunge la katiba.

watu kama butiku yafaa watiwe bakora hakuna hoja anayojenga zaidi ya kutuhumu watu hovyo bila sababu za msingi.

Hii tume kumbe ilikuwa na watu waajabu sana kama hoja zenyewe ndiyo hizi.
Kama Butiku amekushangaza kiasi hicho vipi hao waimba taarab waliosali bungeni?
 
Ndio maana wameambiwa wakae kimya! Kina Membe, Wassira wote kawatuma Lowassa?! Mzee Butiku kafilisika hoja.
 
kwa busara angenyamaza... ila atetee maoni ya serikali tatu na namna itakavyimnufaisha layman na maskini kama mimi.... masuala ya kutajana hatabaki mtu

Mirisho nakuunga mkono wazee wameshachoka hawa,wangejipumzikia kama Msuya
 
Ina maana mzee Butiku,walipopeleka RASIMU YA KATIBA ALITEGEMEA WATU WOOOOOOOTE WAIPOKEE BILA KUHOJI?
Kwa kadri ya ufahamu na hata neno lenyewe walilotumia linaitwa RASIMU na SIO KATIBA.Hivyo imawezwa kurekebishwa,kuboreshwa,au kubadilishwa.
Sasa kutegemea kubwa waliyoandikwa NA TUME YA KATIBA yalikuwa ni msaafu AMBAO HAUWEZI KUJADILIWA JUU YA MAUDHUI YAKE,huko ni kujidanganya.Wacha watu waendelee kujadiliana kwa hoja na si matusi,kashifa,au kutajana majina.
Let the issues speak for themselves.
 
kingukitano na mjepo Butiku ni CCM kuliko nyie..Heshima aliyonayo ndani ya CCM hamuwezi kuipata..Labda kama mnachekesha jukwaa..

Acheni kashfa..Jadilini hoja..
 
Last edited by a moderator:
kingukitano na mjepo Butiku ni CCM kuliko nyie..Heshima aliyonayo ndani ya CCM hamuwezi kuipata..Labda kama mnachekesha jukwaa..

Acheni kashfa..Jadilini hoja..

HOJA aliyoytoa ni ya kiwendawazimu,Mh Rais alieleza hatari ya nchi kuwa na mundo wa serikali tatu alitumwa na Lowwasa?

Juzi MH Bernard Membe alichambua kiundani madhara ya serikali 3 alitumwa na Lowwwasa?

Akina Makonda mahasimu wa Lowwasa pia amewatuma kutetea serikali mbili?

Acheni ujinga kila kitu Lowassa,

Hata mke wake akizidisha chumvi kwa mboga ataseama Lowwasa .

Tumechoka na huu uhuni
 
Last edited by a moderator:
Butiku anataka kujua msimamo wa Lowasa maana hajazungumza. Lowasa hakuamini kama Butiku anaweza kusimama kwenye jambo ambalo naye lowasa analiamini.
 
Mirisho nakuunga mkono wazee wameshachoka hawa said:
Mkuu Kingukitano... with all the due respect... siungi mkono hoja ya kunyamazia uovu.... lakini i see it too prematurely and i guess it will deviet the discussion at hand to something else....kutajana itavuruga mjadala.. lakini kunyamazia mabavu yanayofanywa na CCM kwa kisingizio cha wingi wao bungeni haitakubalika. kingukitano
gukitano

kingukitano
 
HOJA aliyoytoa ni ya kiwendawazimu,Mh Rais alieleza hatari ya nchi kuwa na mundo wa serikali tatu alitumwa na Lowwasa?

Juzi MH Bernard Membe alichambua kiundani madhara ya serikali 3 alitumwa na Lowwwasa?

Akina Makonda mahasimu wa Lowwasa pia amewatuma kutetea serikali mbili?

Acheni ujinga kila kitu Lowassa,

Hata mke wake akizidisha chumvi kwa mboga ataseama Lowwasa .

Tumechoka na huu uhuni

Nimeona katika maelezo walionana mara mbili na Lowasa..

Hao wote uliowataja wao wanasimamia msimamo wa CCM..Hata kama hawapendi..

Unafikiri Butiku anahitaji kitu? mpaka amchafue Lowasa?
 
Kumbe butiku naye mburula kiasi hiki hapa malimu sefu na lowasa wanaingiaje atwambie namna Lowasa na Maalimu sefu wanavyoweka watu wao kusimamia serikali mbili.

Butiku hana hoja aache jazba wakati wao umekwisha sasa ni zamu ya bunge la katiba.

watu kama butiku yafaa watiwe bakora hakuna hoja anayojenga zaidi ya kutuhumu watu hovyo bila sababu za msingi.

Hii tume kumbe ilikuwa na watu waajabu sana kama hoja zenyewe ndiyo hizi.

""Kama Butiku hana hoja,hoja zako wewe ni zipi?SIYO KUISHIA KUTOA MAPOVU NA KUANIKA UFINYU WAKO WA FIKRA!""
 
Jamani Si lowasa yupo na alimfuata butiku mara mbili sasa mnachobisha nn kama yy lowasa hatakanusha tutaendelea kumwamini butiku.
 
Mkuu Kingukitano... with all the due respect... siungi mkono hoja ya kunyamazia uovu.... lakini i see it too prematurely and i guess it will deviet the discussion at hand to something else....kutajana itavuruga mjadala.. lakini kunyamazia mabavu yanayofanywa na CCM kwa kisingizio cha wingi wao bungeni haitakubalika. kingukitano
gukitano

kingukitano

Mirisho Pm I salute you
 
Back
Top Bottom