Kabisa aisee la sivyoAcha tu mitumba iwe na grades
Lingine hili hapa.....linakwenda sana uswa wa kilwa road kupitia Rufiji, kibiti, etc
Swahiba kwema? kitambo hatujasema huku kheri nyingi sijui huko?
Nimekumbuka Lindi High School Kitambo Sana Kusini.Lingine hili hapa.....linakwenda sana uswa wa kilwa road kupitia Rufiji, kibiti, etc
Rafiki yake wanae enda nae njia moja siku zote
ni huyu hapa najiita 'Wifi Nae"