But in my heart

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Dearest CC/MMU members! It is graceful grief and sweet sadness to think of you all BUT IN MY HEART there is a kind of soft warmth that cant be expressed with any choice of words...!!!!
Warmest greetings from Nyamisati Rufiji
 
Hureee kesho narudi mujini, nimeweza kuyashinda majaribu yote ya Nyamisati pamoja na waliokuwa wananivalia vinite dress vyao kwenye coridor
 
Hutaki kuagiza zawadi? Mkaa matunda mihogo hata tunguli hirizi pia vipo! Kasoro tu house girl watoto wa kimakonde wanaweza kufanya mapinduzi ni mahiri sana kwenye mambo fulani na hawachoki kujituma
 
Hutaki kuagiza zawadi? Mkaa matunda mihogo hata tunguli hirizi pia vipo! Kasoro tu house girl watoto wa kimakonde wanaweza kufanya mapinduzi ni mahiri sana kwenye mambo fulani na hawachoki kujituma

Mie ndo namtaka huyo mmakonde
 
Nataska miogo ipo huko uniletee

Hahahaaa shansarie umenikumbusha kitu... niliingia mgahawa mmoja huku kijijini nikaagiza chai na vipande viwili vya muhogo! Mungu wangu nililetewa mapande yanayotosha kula watu watatu halafu unajua bei yake? 600/= tu
 
afu ukute ina ungaunga lol ntakulaje umenitamanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…