John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 180
Kwasasa tunaendelea na ujenzi wa mabanda ya kisasa ya kufugia nyuki, kwa NGOs zilizoko katika mradi endelevu wa uhifadhi wa misitu ya miombo, wilaya ya Urambo na KaliuaSasa hivi mna biashara ipi ambayo inaendelea?
Mnazo tax returns ambazo filed ki sheria?
Kwasasa tunaendelea na ujenzi wa mabanda ya kisasa ya kufugia nyuki, kwa NGOs zilizoko katika mradi endelevu wa uhifadhi wa misitu ya miombo, wilaya ya Urambo na Kaliua
Yes, utakapokuwa tayari kuingia kwenye ubia utapata nafasi ya kupitia nyaraka zote muhimu kupitia mwanasheria wetu!Mmeshawahi ku file tax returns toka muanze shughuli zenu? kama ndio, unaweza nitumia copy kwa email?
Naku pm mkuu, nilikuwa kwenye updates za mambo mengine kidogo!Kama uko committed tuwasiliane kwenye civil/building works. Baada ya matokeo njoo tena JF uwape mrejesho. Twende PM kwa mengi zaidi.
Yes, utakapokuwa tayari kuingia kwenye ubia utapata nafasi ya kupitia nyaraka zote muhimu kupitia mwanasheria wetu!
Mimi nimeshindwa kabisa kuelewa lengo lake hasa! Sijajua yeye amesimama kama nani? Kampuni. Sole proprietor ama mdau binafsi?Wewe unataka kuingia ubia au unataka kujua Kama kampuni inalipa kodi or not,sijakuelewa Hapa Faiza
Wewe unataka kuingia ubia au unataka kujua Kama kampuni inalipa kodi or not,sijakuelewa Hapa Faiza
Mimi nimeshindwa kabisa kuelewa lengo lake hasa! Sijajua yeye amesimama kama nani? Kampuni. Sole proprietor ama mdau binafsi?
Records zake zimekaaje? Anyway, dada Faiza kama unahitaji data zote hizo hapa siyo mahali pake, tunaweza kufanya utaratibu wa kuonana kibiashara zaidi tukiwa na Mwanasheria wetu!
Hawezi huyo kwanza nadhani hajaelewa kuhusu hili unaloliadvocate Hapa
Wewe unataka kuingia ubia au unataka kujua Kama kampuni inalipa kodi or not,sijakuelewa Hapa Faiza
Do not judge the book by its cover, kuwa mtazamaji hatukukuomba ushauri.
Biashara iliyokamili inapeleka tax returns zilizokuwa verified na auditors Brela kila mwaka, haijalishi kama inalipa kodi au ina misamaha ya kodi au inapata hasara au faida.
Hiyo inanipa picture ya how organized the company is. Na inanijulisha assets zake na liabilities.
Inarahisiha kufanya decision, I have my client who is very much interested in doing business in Tabora.
FaizaFoxy tax return kwa hapa bongo hebu nieleweshe dada manake na Mie nikusanye makato yangu ya mshahara mwisho wa mwaka nipate tax return? Au hiyo ya biashara is something else?Do not judge the book by its cover, kuwa mtazamaji hatukukuomba ushauri.