Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,900
Kwaiyo mdomo inaweza ikawa sababu alikuacha dogo
Jitahidi kusukutua na kutoa ugoro vizuri..rubbish
ningesema kitu bout your avatar.but namuogopa mshana..niache nilale kwa amanii hahahaNamba 2
Namba 2
Busu la kwanza nilipigwa mtandaoni.
Kama hivi mwaaaaaaa
Huu mtandao ni Tigo?Mtandaoni unamaana tigo??hongera..hahaha
huu sio mtandao,hii Ni website..hahHuu mtandao ni Tigo?
halikua kivileeeeee sioBusu la kwanza,sitaki hata kutaja miaka. But jamaa kawa mchizi wangu tu. Muhuni mwenzangu hivi,mshikaji yaani
Sawahuu sio mtandao,hii Ni website..hah
poa mzee karibuSawa
hahahah Morning..Busu la kwanza,sitaki hata kutaja miaka. But jamaa kawa mchizi wangu tu. Muhuni mwenzangu hivi,mshikaji yaani
Weuweeeee. Nani kasema? Was superhalikua kivileeeeee sio
Morning sasa hivi jamani?hahahah Morning..
Nasikia sikia jogoo kwa mbali, nadhan itakua morning imekaribiaMorning sasa hivi jamani?
Bado thanaNasikia sikia jogoo kwa mbali, nadhan itakua morning imekaribia
hehehe ngoja nirud nikalale kama bado...Bado thana