Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Naona mkuuu leo ni siku ya mistari kwa kwenda mbele!!Busu hili busu gani,
Busu la kurumagia,
Uzuri wake ni nini,
Kavukavu kubusia?
Tonge kulishikilia
Mchuzi ninyimwani
Nabaki kutamania
Kama samaki pichani?
Unaponipa chakula
Nipe na mchuzi pia
Na njaa mwisho ntalala,
Na tonge naachilia!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Kubusiwa ni hiariBusu hili busu gani,
Busu la kurumagia,
Uzuri wake ni nini,
Kavukavu kubusia?
Tonge kulishikilia
Mchuzi ninyimwani
Nabaki kutamania
Kama samaki pichani?
Unaponipa chakula
Nipe na mchuzi pia
Na njaa mwisho ntalala,
Na tonge naachilia!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Naona mkuuu leo ni siku ya mistari kwa kwenda mbele!!
Afadhali utupe burudani tu leo.............
mkuu i hope haikuwa maana ya ''KUDUMISHA MILA'' mtaani huko ukafosi na mabusu!Busu hili busu gani,
Busu la kurumagia,
Uzuri wake ni nini,
Kavukavu kubusia?
Tonge kulishikilia
Mchuzi ninyimwani
Nabaki kutamania
Kama samaki pichani?
Unaponipa chakula
Nipe na mchuzi pia
Na njaa mwisho ntalala,
Na tonge naachilia!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Yeah hasa baada ya stori complex za jery we needed the break!
Asenti
Busu hili busu gani,
Busu la kurumagia,
Uzuri wake ni nini,
Kavukavu kubusia?