Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,953
Not true.
Kulingana na maandiko na theological history dunia tangu iumbwe ina miaka kama elfu 6 tu mpaka sasa na Adamu/mtu wa kwanza aliishi ndani ya hii miaka 60000. Na kulingana Dr. Leaky ,fuvu la mtu wa kale aliloligundua mtu huyo aliishi miaka karibia 2 milions ago kama sijakosea.
Hivyo basi si busara na hairuhusiwi kuyaunganisha haya mambo mawili kwani yanakinzana.
Wapi na wapi kufananisha jambo ambalo wengine wanalisema kuwa lilitokea miaka milion 2 hivi na lile linalosadikika kutokea miaka elfu 6 iliyopita!!!!!