Bill DanOI
New Member
- Mar 9, 2018
- 3
- 0
Tunatoa huduma za garden designing/landscaping na uuzaji wa miche ya miti. Ukihitaji miche ya miti,matunda na maua weka order yako sasa tukuandalie na/au kukuletea. Huduma hii (yaani pamoja na delivery mpaka eneo lako) kwa sasa inapatikana Dsm kwa Kigamboni yote, Toangoma, Mbagala na Mwandege pekee. Ukiwa mbali na hapo tunaweza elewana na gharama za usafirishaji. Bei zetu ni nafuu sana! Mawasiliano kwa simu/whatsapp 0620347647