Naona umetishwa siku ile ubadili avatar leo umebadili mkuuWenyewe wanasema eti hata mbuzi anayo.
Ah! Mkuu avatar ile ilikuwa warembo wanaiogopa nikaona isiwe kesi.Naona umetishwa siku ile ubadili avatar leo umebadili mkuu
we unawekaje mtu ndege bhana, wengine tunadegedegeAh! Mkuu avatar ile ilikuwa warembo wanaiogopa nikaona isiwe kesi.
Kazi ni kwako hapa ndugu Kazwala ni wewe tu kusema hautarudia tena kuweka madubwana kama avatar yako.we unawekaje mtu ndege bhana, wengine tunadegedege
Ah! Mkuu avatar ile ilikuwa warembo wanaiogopa nikaona isiwe kesi.
Mmoja ni huyu ameilalamikia sana avatar yangu pendwa.we unawekaje mtu ndege bhana, wengine tunadegedege
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mambo si mabaya sasaKazi ni kwako hapa ndugu Kazwala ni wewe tu kusema hautarudia tena kuweka madubwana kama avatar yako.
Iyo mbuzi 'ilivyomezwa' mithili ya kuku alieatamia mayai yake...duh!...Uliemchongea mduzi ndogo Mungu anakuona.
"Shehena imepaki kwenye mbuzi"...Watu wana maneno humu
View attachment 449662Kama unavyoona kwa kule mbaali kabisa.