MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 23
wanajamii forum nina swali mimi nataka kufungua biashara je nikiwa na business plan yangu nikipeleka benk je naweza kupata MKOPO japo wa 6000,000/= kwa hapa Tanzania na je ni benk gani ambayo itatoa mikopo ukiwa na business planning,naombe mnisaidei ambao mnaufahamu zaidi, nawasilisha