Kinafanya kazi kivuko kimoja tu kingine kimepaki kibovu sasa kuna foleni ya kufa mtu, trh 02/06/2022 nilikuwa naenda Geita kusherehesha (Mimi ni Mc) nikachukulia kimazowea tu nikaenda kupanda Basi nyegezi stendi saa 8, kwa hesabu za haraka nasema naingia Geita saa 11 au 12 hivi.......tuliingia Geita saa 3 usiku