business

business

sherzbits

New Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
1
Reaction score
0
habari za saa hizi wadau wa jf

mm ni new member na nashukuru nimepata nafasi hii ya kujua mengi kutoka kwenu. lengo langu kuu ni moja tu. mimi ni distibutor wa kampuni ya forever living. hii ni kampuni ambayo inauza bidhaa za mmea wa alovera na bidhaa ambazo zimetokana na ufugaji wa nyuki. kwenye kampuni yetu tuna bidhaa tofauti. kuna bidhaa za urembo,usafi,za kupunguza uzito, za afya nk. sasa nawaomba wadau wote wa jf kuniunga mkono kununua bidhaa kutoka kwangu na vilevile mnaweza kunishauri namna nyingine ya kuboresha biashara yangu au kama na wewe ungependa kujiunga kwenye kampuni yetu, nakukaribisha sana kwasababu kwanza hautajutia kujiunga kwenye hii kampuni alafu pili utajifunza mengi kwasababu kila jumamosi tunakuwa na mafunzo ambayo ni bure kutoka kwa wakufunzi wetu alafu tatu utapata opportunities nyingi za kutembea nchi mbali mbali na utakutana na watu wengi. wadau nataka niwafamishe tu kwamba if u realy desire to be successful kwa njia ya halali, this company is to run for especially kwa vijana wenzangu.

for more information please contact me on 0719876767
 
Dah! Hii biashara lazima uwe una maneno mengi sana!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom