Nawasalimu wote, jamani kuna business opportunity meeting inafanyika JB Bellmont tar 15 Aug 2013 card ninazo kama unaitaji wasiliana nami kwa namba hii 0754/0715 297298.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Oriflame hawa na bidhaa zao bei kwel kuuza kwa m2 wa kawaida chek catalog yao, af mbaya zaid zimedizainiwa hasa kuwafit wazungu kwa ngozi zao labda perfum kidogo inawezakua multpurpose..hili halina ubishi mulize hata yule Mama wakichaga atakwambia