Business ideas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Business ideas

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by lauti, Apr 11, 2011.

 1. l

  lauti Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF,nisaidien kunipa business ideas ambazo zitanisaidia kupata 1 ambayo ni more profitable,yenye capital ya kuanzia Mil. 2 mpaka Mil.6,nisaidien ndugu zangu.
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa lazima uangalie nini unapenda kwasababu kufanya biashara si eti kwamba una "plug 'n play" na vitu vinajipa ni lazima upende kile unachofanya ninavyosema kupenda ni kama vile kuwa kwenye ndoa. Huwezi kesho kusema tuu, 'aah mi pesa zikiingia mambo shega" halafu ukajiachia vipi kama mambo hayata kuwa mazuri?

  Kwahiyo jiulize kama wewe unapenda nini, je unapenda kilimo (biashara ya vyakula), wanyama (biashara ya ufugaji), kufundisha (speaker - seminar business), tekinolojia (biashara ya mtandao) n.k. Ondoa hiyo kitu unayosema "biashara gani inalipa". Ukimuuliza Mexence Melo nauhakika atakwambia anapenda mambo ya computer security, information technology n.k

  Biashara yoyote inalipa unachotakiwa kufanya ni kuangalia "need" kwa mfano unaweza kufanya ka-survey hata hapa JF kuangalia watu wanamatatizo gani. Kwa kuangalia tuu maswali yanayoulizwa hapa utaweza kuona watu wanashida gani. Sasa kama wewe mjasirimali wa kweli unajiuliza, "hivi nitawasaidiaje hawa watu? Ukipata jibu unatengeneza kamfumo ka kuwasaidia kwa gharama nafuu. Ndiyo biashara ya wenye akili inavyoanzishwa ndugu.

  Pia usipende mambo ya mkumbo kwa kufanya kitu eti kwasababu fulani anafanya, wewe kama ni mjasirimali jaribu kusaidia matatizo ya watu na hapo utaweza kupata business idea nyingi tuu. Ukiniuliza mimi kuhusu idea sana sana nitakwambia "internet business" kwasababu napenda "technology" na kitu chochote kinachohusu computer (programming/engineering) au computer science. Sasa kama nikikuambia unaweza tengeneza mahela kwa kutengeneza "cloaking script" wakati wewe haya mambo yanakuboa utaweza vipi kuamini idea yangu ni nzuri?

  Kwakuhitimisha tuu jaribu kuangalia hapa hapa Jamiiforums mambo yanayowakera watu halafu jaribu kuyatatua.
   
 3. l

  lauti Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante chamoto kwa changamoto ulonipa,nimeisoma na ninakuhakikishia ntaifanyia kaz,nahitaj kuja kuwa mjasiriamali mkubwa mwanamke,kupitia haya mawazo ya watu ka nyie,napata meng ya kupanua akil yangu,thanx again,i appreciate,1 luv
   
 4. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nisamehe ndg Chamoto , lakini nakuona kama hauishi Tz au unatumia sana vitabu katika kumjibu huyu ndg.
  Hayo uliyoyasema kwa nadharia ingetakiwa iwe hivyo lakini kwa kwetu hapa kidogo inaweza kuwa kinyume-huo ni mtizamo wangu. Unaweza kuwa mtu unaipenda sana hiyo biz lakini ikakushinda kwa sababu waliomo kwenye hiyo biz wanataka ufanye ufisadi -what next?

  mtoa mada mimi ningekushauri uongeze kipengele cha asilimia ngami/mwezi au kwa mwaka katika mada yako lakini kama unataka upate asilimia kati ya 5-10%,nina biashara hapa TZ inayoweza kukuhakikishia kuwa utaipata i.e ukitumbukiza 2M ukazifuatilia mwisho wa mwezi utaipata hiyo 200,000 kama net profit.
  Uliuliza sawa sawa kabisa ila kiasi gani inalipa hapo ndio shida,maana % zingine utajikuta unaingia kwenye ufisadi etc.

  QUOTE=Chamoto;1843268]Kwanza kabisa lazima uangalie nini unapenda kwasababu kufanya biashara si eti kwamba una "plug 'n play" na vitu vinajipa ni lazima upende kile unachofanya ninavyosema kupenda ni kama vile kuwa kwenye ndoa. Huwezi kesho kusema tuu, 'aah mi pesa zikiingia mambo shega" halafu ukajiachia vipi kama mambo hayata kuwa mazuri?

  Kwahiyo jiulize kama wewe unapenda nini, je unapenda kilimo (biashara ya vyakula), wanyama (biashara ya ufugaji), kufundisha (speaker - seminar business), tekinolojia (biashara ya mtandao) n.k. Ondoa hiyo kitu unayosema "biashara gani inalipa". Ukimuuliza Mexence Melo nauhakika atakwambia anapenda mambo ya computer security, information technology n.k

  Biashara yoyote inalipa unachotakiwa kufanya ni kuangalia "need" kwa mfano unaweza kufanya ka-survey hata hapa JF kuangalia watu wanamatatizo gani. Kwa kuangalia tuu maswali yanayoulizwa hapa utaweza kuona watu wanashida gani. Sasa kama wewe mjasirimali wa kweli unajiuliza, "hivi nitawasaidiaje hawa watu? Ukipata jibu unatengeneza kamfumo ka kuwasaidia kwa gharama nafuu. Ndiyo biashara ya wenye akili inavyoanzishwa ndugu.

  Pia usipende mambo ya mkumbo kwa kufanya kitu eti kwasababu fulani anafanya, wewe kama ni mjasirimali jaribu kusaidia matatizo ya watu na hapo utaweza kupata business idea nyingi tuu. Ukiniuliza mimi kuhusu idea sana sana nitakwambia "internet business" kwasababu napenda "technology" na kitu chochote kinachohusu computer (programming/engineering) au computer science. Sasa kama nikikuambia unaweza tengeneza mahela kwa kutengeneza "cloaking script" wakati wewe haya mambo yanakuboa utaweza vipi kuamini idea yangu ni nzuri?

  Kwakuhitimisha tuu jaribu kuangalia hapa hapa Jamiiforums mambo yanayowakera watu halafu jaribu kuyatatua.[/QUOTE]
   
 5. l

  lauti Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks rakeye kwa changamoto na ushaur,am taking into my consideration...!
   
Loading...