Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 584
- 1,009
Ndugu zangu nina imani wote hamjambo,
Kama unavyojua wengi wetu si wabunifu ,ila kuna badhi wanaweza kunakili na kufanikiwa huenda wanakosa kitu cha kuwatia moyo ,na wengine wanakosa mawazo ,na wengine hawatasoma hata kusoma au watasoma kama gazeti la udaku.
Hii kitu nimeikuta mahala nikaona kwa wale wanaoweza kunakili na kutekeleza iwasaidie.Ni ujasiriamali uliofanywa na watu tofatuti tofauti kwenye nchi nyingi za ki African hata wa Tanzania wenzetu wakiwemo.
Unaweza kuingia kwenye link hii:
"" www.smallstarter.com '''
Nina imani wengi inaweza kuwasaidia ,issue ya kuajiriwa imekua kero na shida wakati maisha nayo akiendelea kua ghali kila kukicha
All the best kujenga taifa letu