Business idea

Business idea

consolidated

Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
28
Reaction score
5
Heshima mbele ..waku naombeni ushauri nina mtaji wa million 6 nifanye biashara gan.....?? Natanguliza shukrani
 
Nikupe siri tu, pale DSE kuna biashara ya kununua na kuuza HISA. Hii ni msaada sana kwa mtu mwenye pesa na hajajipanga afanye nini (hajui cha kuzifanyia). tumia akili kidogo tu kusoma mwenendo wa hisa utajua kampuni gani imesimama vizuri...nunua hisa na uwe na katabia cha kupitapita hapo siku utakuta hisa ulizonunua wewe zinauzwa bei ya juu zaidi nawe unauza zako hapohapo unakula faida.
 
Back
Top Bottom