BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Mkuu haujasema...., unataka partners, investors, loans, joint venture au ....?
Contacts?
HONGERA SANA,Kumbe kila kitu kinawezekana,naweza kupata wapi maelezo kuhusu hiyo kampuni yenu ya kwanza e.g website au chochote,ningetaka kukuzidishia kipato kwa kukuletea watalii,naona hubabaishi!
Mkuu ili kupata partners usisahau pia kwamba hao customers wenu wa mwanzo kwenye venture ya kwanza ungechukua contact zao ili nao uwape issue kwamba unataka kufanya such a thing..., kwanza sababu wametoka nje (and strength of their currency) itakuwa rahisi kuraise funds, pili watakuwa ni source nyingine ya kuleta customers (they will be recommending their friends). What I mean is get as many people as possible and in the end choose the right partner..., kumbuka in partnership its not only about money its people character as well hutaki mtu awe anakupumulia kwenye shingo, na kukuendesha kama gari bovu, just because alitoa pesa.
Kila la heri mkuu maana
wapo wenye pesa ila hawajui wainvest wapi.
Wapo wenye ideas ila mtaji shida,
wapo wenye pesa na ideas za investment ila ni waoga wa kujaribu.
Wapo ambao hawana hata moja kati ya hayo.
Thanks mkuu ila labda niweke wazi kitu kimoja. Katika previous company nilikuwa employee. I introduced the idea, people pumped in money and the project kicked off. After three years I left that company ikiwa tayari iko successfull and its currently doing extremely good. Kwahiyo nataka mwenye capital tuungane tufanye similar business.
Mkuu unataka muungano wa namna gani Partnership or joint venture?
Partnership then we form a partnership company (Limited Liability Company) LLC
Mkuu I am interested.let me know how I can get you
we upo kundi gani? i hope sio hilo la mwisho//mi nipo ya tatu hapoKila la heri mkuu maana
wapo wenye pesa ila hawajui wainvest wapi.
Wapo wenye ideas ila mtaji shida,
wapo wenye pesa na ideas za investment ila ni waoga wa kujaribu.
Wapo ambao hawana hata moja kati ya hayo.
we upo kundi gani? i hope sio hilo la mwisho//mi nipo ya tatu hapo