Business consultant needed

Business consultant needed

Joined
Oct 17, 2024
Posts
13
Reaction score
13
Anatakiwa kijana aliyemaliza chuo ngazi ya degree.

Awe na ujuzi wa kusajiri majina ya biashara na Kampuni,kutoa ushauri wa kibiashara, kufuatilia leseni za Biashara nk.

Akiwa Arusha itapendeza zaidi.
anaweza kupiga simu no +255 27 2976666
 
Back
Top Bottom