Kama watalii wanafanya uwindaji wa kitalii, unategemea wanyama wanaowawinda wasafirishwe kwa njia gani? Au mnataka wakale kibudu?
Mnyama anatakiwa kusafirishwa kabla hajakata roho ili akachinjwe, afanywe kitoweo. Au watalii wetu hawali wanyamapori?
Mama amefungua nchi jamani, wanyama wapo wengi hadi wengine wanavamia makazi ya wananchi...wauzwe tu