R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Jan 9, 2023 #2 Ni ingine tena hii?
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Jan 9, 2023 #3 Naona fork lift.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,059 Reaction score 132,507 Jan 9, 2023 #4 Duh Ova
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jan 9, 2023 #5 Hili dubwasha linahemea vitu gani?
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,047 Reaction score 13,177 Jan 9, 2023 #6 Wamasai waliondolewa kimkakati
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 9,144 Reaction score 19,690 Jan 9, 2023 #7 Nyie watu baada ya wimbo wenu wa mgao wa umeme kuchuja mmetafuta kioja kingine..😅😅 Pigeni picha na kila meli inayoingia bandarini
Nyie watu baada ya wimbo wenu wa mgao wa umeme kuchuja mmetafuta kioja kingine..😅😅 Pigeni picha na kila meli inayoingia bandarini
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,487 Reaction score 68,268 Jan 9, 2023 #8 Johnny Sack said: Nyie watu baada ya wimbo wenu wa mgao wa umeme kuchuja mmetafuta kioja kingine.. Pigeni picha na kila meli inayoingia bandarini Click to expand... Bandarini hakuna wamasai waliofukuzwa ili kuwapisha wajomba zenu.
Johnny Sack said: Nyie watu baada ya wimbo wenu wa mgao wa umeme kuchuja mmetafuta kioja kingine.. Pigeni picha na kila meli inayoingia bandarini Click to expand... Bandarini hakuna wamasai waliofukuzwa ili kuwapisha wajomba zenu.
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 9,144 Reaction score 19,690 Jan 9, 2023 #9 denooJ said: Bandarini hakuna wamasai waliofukuzwa ili kuwapisha wajomba zenu. Click to expand... Vioja tu,
denooJ said: Bandarini hakuna wamasai waliofukuzwa ili kuwapisha wajomba zenu. Click to expand... Vioja tu,
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,380 Reaction score 18,176 Jan 9, 2023 #10 Hutasikia Lisu, Mbowe wala Zito wakikemea huu wizi.
F Futuza Senior Member Joined Sep 9, 2022 Posts 127 Reaction score 516 Jan 9, 2023 #11 Msigwa kashalitolea hili suala ufafanuzi! Hata hivyo watu Wana haki ya kuhoji
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,913 Reaction score 6,524 Jan 9, 2023 #12 Kama watalii wanafanya uwindaji wa kitalii, unategemea wanyama wanaowawinda wasafirishwe kwa njia gani? Au mnataka wakale kibudu? Mnyama anatakiwa kusafirishwa kabla hajakata roho ili akachinjwe, afanywe kitoweo. Au watalii wetu hawali wanyamapori? Mama amefungua nchi jamani, wanyama wapo wengi hadi wengine wanavamia makazi ya wananchi...wauzwe tu
Kama watalii wanafanya uwindaji wa kitalii, unategemea wanyama wanaowawinda wasafirishwe kwa njia gani? Au mnataka wakale kibudu? Mnyama anatakiwa kusafirishwa kabla hajakata roho ili akachinjwe, afanywe kitoweo. Au watalii wetu hawali wanyamapori? Mama amefungua nchi jamani, wanyama wapo wengi hadi wengine wanavamia makazi ya wananchi...wauzwe tu
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Jan 9, 2023 #13 Etwege said: Hutasikia Lisu, Mbowe wala Zito wakikemea huu wizi. Click to expand... Ni syndicate, mbona mkubwa wa mabaka aliyestaafu Amewekwa Ili achafuliwe nn!!!! Si Kwa uadilifu Ule, Kuna namna ananyamazishwa!!!
Etwege said: Hutasikia Lisu, Mbowe wala Zito wakikemea huu wizi. Click to expand... Ni syndicate, mbona mkubwa wa mabaka aliyestaafu Amewekwa Ili achafuliwe nn!!!! Si Kwa uadilifu Ule, Kuna namna ananyamazishwa!!!
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,104 Jan 9, 2023 #14 Futuza said: Msigwa kashalitolea hili suala ufafanuzi! Hata hivyo watu Wana haki ya kuhoji Click to expand... Ufafanuzi upi ndugu?
Futuza said: Msigwa kashalitolea hili suala ufafanuzi! Hata hivyo watu Wana haki ya kuhoji Click to expand... Ufafanuzi upi ndugu?
V Vyura99tu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 1,777 Reaction score 1,883 Jan 9, 2023 #15 Johnny Sack said: Nyie watu baada ya wimbo wenu wa mgao wa umeme kuchuja mmetafuta kioja kingine.. Pigeni picha na kila meli inayoingia bandarini Click to expand... Kumbafuh wasioitakia nchi mwema mmojawao!!
Johnny Sack said: Nyie watu baada ya wimbo wenu wa mgao wa umeme kuchuja mmetafuta kioja kingine.. Pigeni picha na kila meli inayoingia bandarini Click to expand... Kumbafuh wasioitakia nchi mwema mmojawao!!
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 9,144 Reaction score 19,690 Jan 9, 2023 #16 Vyura99tu said: Kumbafuh wasioitakia nchi mwema mmojawao!! Click to expand... Vioja tu mnaleta, kama kaweza kupiga picha ndege kwa nini asipige na wanyama wakiwa wanapkiwa
Vyura99tu said: Kumbafuh wasioitakia nchi mwema mmojawao!! Click to expand... Vioja tu mnaleta, kama kaweza kupiga picha ndege kwa nini asipige na wanyama wakiwa wanapkiwa
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,552 Reaction score 21,678 Jan 9, 2023 #17 Wabebe wote kina fausta, john na wengineo tutaenda kuangalia kwao
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,178 Reaction score 69,685 Jan 9, 2023 #18 Chuma Hicho Kimekuja Shamba Kuvuna Mazao Shambani Kwa Bwana Heri, Mambo Yote Heri
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,494 Reaction score 57,871 Jan 9, 2023 #19 Kennedy said: Chuma Hicho Kimekuja Shamba Kuvuna Mazao Shambani Kwa Bwana Heri, Mambo Yote Heri Click to expand... Nipe uthibitisho hapo ni Tanzania. Kuna mijitu mizwazwa sana Kwa iyo mie naweza kuokota picha mahali popote huko nikaiweka hapa nikasema Tanzania alafu mkaamini?? Kweli ujinga kipaji
Kennedy said: Chuma Hicho Kimekuja Shamba Kuvuna Mazao Shambani Kwa Bwana Heri, Mambo Yote Heri Click to expand... Nipe uthibitisho hapo ni Tanzania. Kuna mijitu mizwazwa sana Kwa iyo mie naweza kuokota picha mahali popote huko nikaiweka hapa nikasema Tanzania alafu mkaamini?? Kweli ujinga kipaji
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 7,509 Reaction score 12,633 Jan 9, 2023 #20 Tunakufungulia duniiiaaa