Si bure kuna kajambo...!!!
hata mm nashangaaa bestito sijui kwanini
hebu muulize atajuze hapa
hata mm nashangaaa bestito sijui kwanini
hebu muulize atajuze hapa
Usijali nipe kamuda niongee naye asije akawa anataka kutuma maombi ya uwekezaji huwezi jua ladyfurahia
Ingekuwa wewe ungekubali kutembezwa no mwanamke hivyo barabarani?Inahitaji moyo wa chuma na ujasiri mkubwa ukichanganya na ukauzu mwamaume kujishusha mbele ya jinsia pinzanj
huyu atakuwa ni msalani huyu amefumaniwa na mke wa mtu