Nikajua we ni pisi kali ambayo unaweza kutishia mtaa.. lkn dah!.. Nini hichi..?Nini unajuta?
Mtoto fulani mzuri.. akipita lzm uwe bize kumcheki nyuma kupo kisura baby face.. shape namba nane mapozi Kama yote..😜😉Haaaaa Haaaaa 😂 Pisi kali ndo inakuwaje mkuu?
Napinga!Mie mzee