Bush na JK katika picha

Bush na JK katika picha

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,676
Reaction score
59,172
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh George W. Bush






Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani Ikulu jijini Dar es salaam leo.Je ukiangalia mikono yao nani kadhalau mwenzake?MIA
 
Kuna mtu aliwahikusema kusema kuwa huyu jamaa ana kichwa cha nazi, ni sahihi kabisa. Dharau za namna hii ndo Nyerere alizikataa kama cjasahu aliwahi kusalimia Malkia wa UK kwa kutumia kifimbo chake baada ya Malkia kumsalimia akiwa kava gloves. Huyu kweli hamnazo kABISAAAAAAA.
 
Hapo wanagonga au wanasalimiana ?maana unaweza kusema kitu aluu kumbe walikuwa wanagonga tuh
 
kuna mtu aliwahikusema kusema kuwa huyu jamaa ana kichwa cha nazi, ni sahihi kabisa. Dharau za namna hii ndo nyerere alizikataa kama cjasahu aliwahi kusalimia malkia wa uk kwa kutumia kifimbo chake baada ya malkia kumsalimia akiwa kava gloves. Huyu kweli hamnazo kabisaaaaaaa.

realy a hard nut to crack!
 
Huyu Bush hii mara ya pili sasa anatimba Tz vip alikuja kufatilia mali zake nini kule Kigamboni mana hawa watu hawaji bure hapa tunaibiwa bila kutaka:spy::A S embarassed::lol::A S-coffee:
Ya kigamboni siyajui, ila kuna kafununu ka mambo ya madini mikoa ya kati. Niliwahi kupewaga DVD fulani hivi ya investigative journalist fulani anaefuatilia biashara za familia hii, akaitaja na Tanzania pia.
 
Ningekuwa mimi
ningempa mkono wa kushoto pia
tunapowakilishwa na rais mzito wa kung'amua mambo
(NI HATARI)
 
Hiyo ni dharau kubwa sana lakini mkweree hakuelewa kuwa anadharauliwa!!
 
Back
Top Bottom