Busega Simiyu: FFU wazingira kituo cha Polisi na viunga vyake

Busega Simiyu: FFU wazingira kituo cha Polisi na viunga vyake

Mada za kilevi mleta mada naye mlevi.
 
..!.! Haaaaaah.! Sidhani Kama Hao Ni Wasukuma. Huko Simiyu Wamejaa Waha Wapiganaji.!

Lamadi hakuna wasukuma tu ni makabila mchanganyiko sana wamo wakurya, wazanaki, wangoreme, wakerewe, wajita, waikizu, wajaluo na weeengi wa mbali na hapo ni senta ya biashara.
 
Lamadi hakuna wasukuma tu ni makabila mchanganyiko sana wamo wakurya, wazanaki, wangoreme, wakerewe, wajita, waikizu, wajaluo na weeengi wa mbali na hapo ni senta ya biashara.

....... Mi Pale Nishakaa, Hao Wote Ulowataja Wapo, Ila Walio Wengi Ni Waha/wahangaza... Na Mimi Hao Jamaa Nawakubali Sana, Ni Wabishi.!
 
CHADEMA People's hope by chance & fate the current functionless system that we have MUST CHANGE.
 
Back
Top Bottom