Busega Simiyu: FFU wazingira kituo cha Polisi na viunga vyake

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Leo katika mji mdogo wa lamadi katika jimbo la Busega mkoani Simiyu FFU wametanda kila kona baada ya polisi kumkamata mwenyekiti wa vijana CHADEMA mkoa wa Simiyu na viongozi wengine wa chama hicho usiku wa kuamkia leo.

Chanzo cha kukamatwa viongozi hao ni baada ya CCM kuweka pingamizi kwa wagombea wote wa CDM katika kugombea nafasi katika uongozi wa kijiji hali ambayo ilichafua hewa na kufanya wananchi kuvunja ofisi ya kata ili wammalize mwanasheria wa wilaya aliyekua amerudisha majibu hayo mnamo tar 2 mwezi huu.

Kufuatia timbwilitimbwi hilo mwanasheria huyo aliwarudisha wagombea wote wa CDM chini ya masharti makali ya wananchi baada ya kuona kimenuka.

Hii leo asubuhi kufuatia viongozi hao kukamatwa wafuasi wa CDM walivamia kituo cha polisi ili kuwatoa ila viongozi hao hawakuwekwa katika kituo hicho cha polisi bali walipelekwa usiku huo huo mjini Bariadi katika kituo kikuu cha polisi.

Hadi kufikia majira ya mchana huu wananchi bado wanasubiri viongozi hao waletwe baada ya viongozi hao kuwashuhudia wananchi kwa njia ya simu kuwa wako salama na watapelekwa ktk mahakama ya Nyashimo ili kusomewa mashtaka na wakawaomba wananchi kwenda kuwawekea mdhamana kictendo ambacho kimeshafanyiwa kazi na viongozi wa CDM hivyo hapa wananchi wanasubiri kuwaona MAKAMANDA hao wakiwasili au LA.
 
CHADEMA ni mpango wa Mungu,yeyote Yule aendao kinyume nao ni agent wa Shetani
 
Hakika huwez kuwadanganya watu wote kwa muda wote. Kumekucha
 
naona wanapambana na nguvu ya uma inshaalah haki itaishinda batwili
 
Leo katika mji mdogo wa lamadi katika jimbo la Busega mkoani Simiyu FFU wametanda kila kona baada ya polisi kumkamata mwenyekiti wa vijana CHADEMA mkoa wa Simiyu na viongozi wengine wa chama hicho usiku wa kuamkia leo.

Chanzo cha kukamatwa viongozi hao ni baada ya CCM kuweka pingamizi kwa wagombea wote wa CDM katika kugombea nafasi katika uongozi wa kijiji hali ambayo ilichafua hewa na kufanya wananchi kuvunja ofisi ya kata ili wammalize mwanasheria wa wilaya aliyekua amerudisha majibu hayo mnamo tar 2 mwezi huu.

Kufuatia timbwilitimbwi hilo mwanasheria huyo aliwarudisha wagombea wote wa CDM chini ya masharti makali ya wananchi baada ya kuona kimenuka.

Hii leo asubuhi kufuatia viongozi hao kukamatwa wafuasi wa CDM walivamia kituo cha polisi ili kuwatoa ila viongozi hao hawakuwekwa katika kituo hicho cha polisi bali walipelekwa usiku huo huo mjini Bariadi katika kituo kikuu cha polisi.

Hadi kufikia majira ya mchana huu wananchi bado wanasubiri viongozi hao waletwe baada ya viongozi hao kuwashuhudia wananchi kwa njia ya simu kuwa wako salama na watapelekwa ktk mahakama ya Nyashimo ili kusomewa mashtaka na wakawaomba wananchi kwenda kuwawekea mdhamana kictendo ambacho kimeshafanyiwa kazi na viongozi wa CDM hivyo hapa wananchi wanasubiri kuwaona MAKAMANDA hao wakiwasili au LA.

kuna watu siwaoni katika uzi huu, ebu njooni mkanushe!
 
Kawaida ya chama kilichoshindwa kuongoza wananchi hutumia dola kukaa madarakani,lkn mwisho wake upo karibu!
 
Leo katika mji mdogo wa lamadi katika jimbo la Busega mkoani Simiyu FFU wametanda kila kona baada ya polisi kumkamata mwenyekiti wa vijana CHADEMA mkoa wa Simiyu na viongozi wengine wa chama hicho usiku wa kuamkia leo.

Chanzo cha kukamatwa viongozi hao ni baada ya CCM kuweka pingamizi kwa wagombea wote wa CDM katika kugombea nafasi katika uongozi wa kijiji hali ambayo ilichafua hewa na kufanya wananchi kuvunja ofisi ya kata ili wammalize mwanasheria wa wilaya aliyekua amerudisha majibu hayo mnamo tar 2 mwezi huu.

Kufuatia timbwilitimbwi hilo mwanasheria huyo aliwarudisha wagombea wote wa CDM chini ya masharti makali ya wananchi baada ya kuona kimenuka.

Hii leo asubuhi kufuatia viongozi hao kukamatwa wafuasi wa CDM walivamia kituo cha polisi ili kuwatoa ila viongozi hao hawakuwekwa katika kituo hicho cha polisi bali walipelekwa usiku huo huo mjini Bariadi katika kituo kikuu cha polisi.

Hadi kufikia majira ya mchana huu wananchi bado wanasubiri viongozi hao waletwe baada ya viongozi hao kuwashuhudia wananchi kwa njia ya simu kuwa wako salama na watapelekwa ktk mahakama ya Nyashimo ili kusomewa mashtaka na wakawaomba wananchi kwenda kuwawekea mdhamana kictendo ambacho kimeshafanyiwa kazi na viongozi wa CDM hivyo hapa wananchi wanasubiri kuwaona MAKAMANDA hao wakiwasili au LA.

Komaeni makamanda tuko pamoja nanyi
 
....mipolisiccm inatumika vibaya sana

Kuna siku tutasikia Polisi amechomwa moto kama Kibaka na labda watafanya kazi kwa kutumia akili. Nakumbuka yale machafuko ya Pemba kuna polisi alikatwa kichwa kabisa. Pamoja na hekaheka zilizotokea lakini mpaka leo adabu iko kule. Kabla ya kutenda jambo wanajiuliza kwanza jee ni la haki?
 
Chadema ni chama cha kigaidi, kila kitu mnadhani kinapatikana kwa uvamizi wa silaha. Haki nawaambia hakuna mpenda amani atakayechagua chadema.
 
Kuna siku tutasikia Polisi amechomwa moto kama Kibaka na labda watafanya kazi kwa kutumia akili. Nakumbuka yale machafuko ya Pemba kuna polisi alikatwa kichwa kabisa. Pamoja na hekaheka zilizotokea lakini mpaka leo adabu iko kule. Kabla ya kutenda jambo wanajiuliza kwanza jee ni la haki?

We gaidi tu.
 
Yule Mpwa wangu mwenye akili za kuku sijui anaitwa simiyu yet sijui nani huko aje hapa aone moto wa chama kubwa
 
Last edited by a moderator:
..!.! Haaaaaah.! Sidhani Kama Hao Ni Wasukuma. Huko Simiyu Wamejaa Waha/wahangaza Wapiganaji.!
 
Back
Top Bottom