Busara zake zimetufikisha hapa tulipo

Busara zake zimetufikisha hapa tulipo

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Ulikuwa mtu mwema kipindi cha uongozi wako, lakini leo watanzania wanakulilia. Umeiuza nchi kwa majambazi.Watanzania wanakufa, wanateswa sababu uliamua hawa wahuni wapewe nchi.

1760435044977.png
 
Kwani katiba ilikua inasema nini ? Au ni kakijitabu tu?
 
Back
Top Bottom