Busara zaidi sio nguvu

Busara zaidi sio nguvu

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Mwenye uelewa mpana amenielewa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370475941186.jpg
    uploadfromtaptalk1370475941186.jpg
    29.1 KB · Views: 661
Sasa wanawake ndo tunafanya hivyo siku hizi. Mtajipangaje heheheh!
 
Mwenye uelewa mpana amenielewa

yawezekana kabisa mwenye nguvu zaidi hapo alimburuza mwenzake hadi kwenye upande wake na wakagundua kwamba it is possible kushare majani

sometimes we have to think outside the box
 
Kila mla cha mwenzio na chake huliwa.

sio kila mla cha mwenzie na chake huliwa, unaweza kula cha mwenzio na chako kisiliwe, kwan inategemeana na hicho chako kina akili gan ya kufikiria. umeisoma hyo hata kimya kimya.
 
Back
Top Bottom