Kipindi hauna kazi huyo wa type yako 30+ hakuwa na msaada na wewe.Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.
Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.
Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Shida sio hiyo inshu anawahi sana sijajipangaMalipo ni hapahapa . Mara nyingi yule unayemkubali anaye pia anayemkubali zaidi yako. Dunia ni duara kwa sasa huwezi elewa.
KATAA NDOA ULINDE KIBUNDA CHAKOOa huyo ndio mke nakuhakikishia utaanza kumpenda taratibu
Ukizubaa utaolewa wewe!!Ee bado mm nimtoto mkuu kwan vp
Oa huyo huyo yeye anaona anawachelewesha watoto shule oa muanze kuwawahisha watoto shuleAnaharakisha mambo mkuu hata mimi najua ila anamoto ndo namwaka kwenye ajira
Shida amemjua mshindani wake anafanya timing tu ikishindikana njia zote anabeba mimbaShida sio hiyo inshu anawahi sana sijajipanga
Hilo haliwezekani nina timetable zao wote wawiShida amemjua mshindani wake anafanya timing tu ikishindikana njia zote anabeba mimba
Unaweza kuoa mwanamke kwa kigezo cha anamaadili? Hilo tu?Penda unapopendwa
Sawa kua uyaone utakuja kujua nguvu ya mwanamke akiamua jambo lakeHilo haliwezekani nina timetable zao wote wawi
Mkuu acha basi make kiukwel napanga leo tuzungumze ili nijue chakufanya make kwasasa siwazii uhusiano huuSawa kua uyaone utakuja kujua nguvu ya mwanamke akiamua jambo lake
Maamuzi yako mikononi mwako wengine tulishafanya maamuzi zaidi ya miaka 10 iliyopitaMkuu acha basi make kiukwel napanga leo tuzungumze ili nijue chakufanya make kwasasa siwazii uhusiano huu
Unawezaje kuishi namwanamk ambae humpendi sana hiyo ndo point yangu! make kiukwel yuko sawa ila shida ndo hiyoMaamuzi yako mikononi mwako wengine tulishafanya maamuzi zaidi ya miaka 10 iliyopita
Fanya maamuzi yako mzee hayo ndio sahihi. Usijeoa huyo dada baadae ukaendelea kuchepuka na unayempendaUnawezaje kuishi namwanamk ambae humpendi sana hiyo ndo point yangu! make kiukwel yuko sawa ila shida ndo hiyo
Hapana kuna vingi vya kujiridhishaUnaweza kuoa mwanamke kwa kigezo cha anamaadili? Hilo tu?