yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 901
- 1,568
Nilianzisha nae mahusiano sikuwa nawaza tutafika huku mkuu.Mmmh muwe na huruma wajameni kwa innocent creatures
Poor her,, 😕nawewe ndie uliye muanzaNilianzisha nae mahusiano sikuwa nawaza tutafika huku mkuu.
Oa huyo mwanamke wewe fala ukioa hilo kulumbembe lingine kitakachokupata usije ukashangaa oa huyo aliekupiga tag utapigwa kofi utapoteza kila kitu Mbweha wewe wewe unahisi ulivyonavyo ni sababu ya uwezo wakokuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Weka picha zaoNipo kwenye mahusiano na dada fulani, na ukweli ni kwamba alinisapoti sana hadi nikapata kazi hii. Ni sekta binafsi, lakini huyu dada ni innocent girl (hana makuu kabisa).
Tupo taasisi moja ila matawi tofauti. Najua ananipenda, lakini mimi niko kwenye mahusiano na dada mwingine ambaye namkubali sana. Ana miaka 30+, na kwa kweli hao ma-over ndio type zangu kabisa.
Shida ni jinsi ya kumkataa huyu wa kwanza kwa ustaarabu, maana ameanza kuleta masuala ya ndoa, na nyumbani kwao tayari wameshanipokea vizuri na wananikubali sana.
Swali ni: ipi ni njia sahihi ya kuachana naye kwa heshima, maana amekuwa msaada mkubwa kwangu. Ukweli ni kwamba sikutegemea tufike mbali, lakini yeye amekomaa sana. Hata baada ya baadhi ya matukio yaliyotokea, niliyompotezea, bado alinisamehe. Hata hili suala la mahusiano yangu mengine analijua.
Nahitaji njia bora ya kuachana naye bila kumuumiza zaidi.
Oa hio mwanamkeSikuwa na namna mzee wake alkuwa na uwezo wakunisaidia mkuu
Wewe acha utoto wa 2010Weka picha zao
Anaharakisha mambo mkuu hata mimi najua ila anamoto ndo namwaka kwenye ajiraOa huyo ndio mke nakuhakikishia utaanza kumpenda taratibu
Kama hujaoa, oa kabisa, utakuja kumkumbuka baadae na wewe, huu msemo wa penda unapopendwa unamaana kubwa sana.Nilianzisha nae mahusiano sikuwa nawaza tutafika huku mkuu.
Mkiwa mnaandika muwe mnarudia kusoma, umeelezea kama hao wote ni mtu mmoja. Halafu unaonekana bado una utoto mwingi, kwenye mahusiano kesi yako ni nyepesi sana sio ya kukimbilia kuomba ushauri. Real Men are disappearing at very high speed...Nilianzisha nae mahusiano sikuwa nawaza tutafika huku mkuu.
Ndoa sio kitu rahisi mkuuKama hujaoa, oa kabisa, utakuja kumkumbuka baadae na wewe, huu msemo wa penda unapopendwa unamaana kubwa sana.
Nipo palee
Ukifanikiwa kumuacha nipasie mimi nina haja nae sitamuaçha. Watu wengine hatuna hata mmoja.Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.
Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.
Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Tunda umeliga?Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.
Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.
Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Ee bado mm nimtoto mkuu kwan vpMkiwa mnaandika muwe mnarudia kusoma, umeelezea kama hao wote ni mtu mmoja. Halafu unaonekana bado una utoto mwingi, kwenye mahusiano kesi yako ni nyepesi sana sio ya kukimbilia kuomba ushauri. Real Men are disappearing at very high speed...
Basi sawa..Ee bado mm nimtoto mkuu kwan vp