Busara ipi itumike!

Busara ipi itumike!

yassird200

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2025
Posts
901
Reaction score
1,568
Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).

Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.

Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.

Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
 
kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Oa huyo mwanamke wewe fala ukioa hilo kulumbembe lingine kitakachokupata usije ukashangaa oa huyo aliekupiga tag utapigwa kofi utapoteza kila kitu Mbweha wewe wewe unahisi ulivyonavyo ni sababu ya uwezo wako
 
Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, na ukweli ni kwamba alinisapoti sana hadi nikapata kazi hii. Ni sekta binafsi, lakini huyu dada ni innocent girl (hana makuu kabisa).

Tupo taasisi moja ila matawi tofauti. Najua ananipenda, lakini mimi niko kwenye mahusiano na dada mwingine ambaye namkubali sana. Ana miaka 30+, na kwa kweli hao ma-over ndio type zangu kabisa.

Shida ni jinsi ya kumkataa huyu wa kwanza kwa ustaarabu, maana ameanza kuleta masuala ya ndoa, na nyumbani kwao tayari wameshanipokea vizuri na wananikubali sana.

Swali ni: ipi ni njia sahihi ya kuachana naye kwa heshima, maana amekuwa msaada mkubwa kwangu. Ukweli ni kwamba sikutegemea tufike mbali, lakini yeye amekomaa sana. Hata baada ya baadhi ya matukio yaliyotokea, niliyompotezea, bado alinisamehe. Hata hili suala la mahusiano yangu mengine analijua.

Nahitaji njia bora ya kuachana naye bila kumuumiza zaidi.
Weka picha zao
 
Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.
Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.

Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Ukifanikiwa kumuacha nipasie mimi nina haja nae sitamuaçha. Watu wengine hatuna hata mmoja.
 
Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.
Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.

Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Tunda umeliga?
Na je, utamu wa tunda ukoje.

Nijuze.
 
Mkiwa mnaandika muwe mnarudia kusoma, umeelezea kama hao wote ni mtu mmoja. Halafu unaonekana bado una utoto mwingi, kwenye mahusiano kesi yako ni nyepesi sana sio ya kukimbilia kuomba ushauri. Real Men are disappearing at very high speed...
Ee bado mm nimtoto mkuu kwan vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom