Giovanni Mugillanetza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 905 Reaction score 1,880 Sep 2, 2026 #1 Mtu anawezaje kutumia Busara zake nje ya Mfumo wa kimahakama kuamua au kutoa maamuzi juu ya Kesi ya Ugaidi inayomkabili mtu ? Nauliza anawezaje yaani ? Sisi wana HAI tunataka kesi irudi Mahakamani na iamuliwe kwa misingi ya utawala wa sheria na haki. Alamsikh.
Mtu anawezaje kutumia Busara zake nje ya Mfumo wa kimahakama kuamua au kutoa maamuzi juu ya Kesi ya Ugaidi inayomkabili mtu ? Nauliza anawezaje yaani ? Sisi wana HAI tunataka kesi irudi Mahakamani na iamuliwe kwa misingi ya utawala wa sheria na haki. Alamsikh.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,428 Reaction score 135,031 Sep 2, 2026 #2 Nilichogundua mpaka sasa ni hiki hapa: Kuna tofauti ya mbingu na ardhi kati ya ugaidi wa kwenye makaratasi na ugaidi halisi.
Nilichogundua mpaka sasa ni hiki hapa: Kuna tofauti ya mbingu na ardhi kati ya ugaidi wa kwenye makaratasi na ugaidi halisi.