Bus gani nisafirie Arusha - Mbeya?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Wakuu naomba mwongozo kwa ruti tajwa japo juu.

Nina muda wa miaka kadhaa sijasafiri kutoka Arusha kwenda Mbeya hivyo huenda kuna kampuni zimeshaondoa mabasi yake barabarani na pengine mengine yameongezeka.

Kwa sababu hizo naomba kupewa mwongozo wa bus angalau ninaloweza kusafiria kwa safari za uhakika ukiachana na mambo mengne ya kupangwa na Mungu.

Natanguliza shukrani.
 
Kama ile Kapricon yenye usajili wa T........ DVA inafanya safari za Mbeya-Arusha, na siyo Mbeya-Mwanza! basi panda hiyo.

Mabasi yaliyobakia yote tofauti na hilo, ni manganjanganja. Ukiikosa hiyo Kapricon ya DVA, bora ujaribu Kimotco.
 
Ndugu vipi upo salama?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…