Wakuu hii gari bado ipo Zanzibar sijaisafirisha kuja home Dar,
Nilikuwa na wazo la kuifanya Dalala lakini BRT ndio naona itanivurugia mipango.
Nilitaka kuiweka iwe STAFF BUS kwenye Taasisi yoyote,Hotel,Shule etc
Uzoefu wangu ni wa viSuzuki Carry na Boda boda maana ndio ninavyo muda mrefu ila huko sipo vizuri.
Wazoefu nipeni uzoefu wa pande hizo za biashara au wazo jipya