unaelewa vibaya,hujui mifumo ya misaada ya wahisani ilivyo,unaweza jengewa kituo cha afya na norway sio kwamba wewe huna uwezo,maktaba ya taifa ilijengwa na warusi,secondary bagamoyo ilijengwa na wacuba,raisi alimuomba mfalme wa morocco atujengee msikiti na uwanja wa mpira,ina maana tz haina uwezo?Sisi waafrika ni Nyani... Tena Nyani Ngabu wakubwa. Imagine tangu mwaka 1964 kuna nchi ya afrika haina hata uwezo wa kujenga kitu kidogo kama ikulu yake hadi ijengewe na wachina?
For that case I don't think if we have what it takes to be civilized human!? No!
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo jengo ni la ubalozi wa marekani nchini urusi,na vinasa sauti vilitegwa na KGB,miaka ya nyuma sana.Serious jengo cimfifential kama ikulu mtu anajijenga anavyokusanya yeye alafu wee unaenda kukaa kama ameweka secret weapon je kwa mfano kuna jengo niliwahi soma waliliacha na Warusi nchini Marekani. Lilikua na vifaa vya kurekodia sauti ndani ya jengo zima walikuja kugundua baada ya miaka mingi kupita african we are not serious aisee
Kama wataweka sumu na watakua wakiwa marais ambao watakua against N matakwa yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajenga saivi dodoma, Na pia Jua kila mkoa kuna ikulu ambazo zimekuwa built na WazawaKwani ile ya magogoni nani kaijenga si wakoloni wa kijerumani. Au Tanganyika imewahi kujenga ikulu yake wenyewe?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Namibia haikuchukuliwa na wareno, ilichukuliwa na south Africa iliyokuwa chini ya utawala wa makaburu.Mjerumani alitawala Tanganyika jina alilotupa, Burundi na Rwanda na nchi nyingine kama Namibia ila hizi nchi tatu zilikuwa zimeungana. Watu walikuwa wakitoka Burundi na Rwanda kuja Tanganyika kama nchi moja na hata kabla ya wajerumani wakati wa watemi, kulikuwa na migration ya watu. Ureno walitawala Msumbiji na nchi nyingine za West Coast. Baada ya vita ya pili Namibia ilichukuliwa na wareno.
Haha aiseKwani ile ya magogoni nani kaijenga si wakoloni wa kijerumani. Au Tanganyika imewahi kujenga ikulu yake wenyewe?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Burundi koloni la ujerumani au Portugal?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yes ..ndio jinsi ilivyokuwa na ukanda huo wote ulikuwa ukitambulika as East africa lakini ikiwa ni nchi mojaMjerumani alitawala Tanganyika jina alilotupa, Burundi na Rwanda na nchi nyingine kama Namibia ila hizi nchi tatu zilikuwa zimeungana. Watu walikuwa wakitoka Burundi na Rwanda kuja Tanganyika kama nchi moja na hata kabla ya wajerumani wakati wa watemi, kulikuwa na migration ya watu. Ureno walitawala Msumbiji na nchi nyingine za West Coast. Baada ya vita ya pili Namibia ilichukuliwa na wareno.
Hilo halikwepeki " endapo ukiamua kuwapa tenda wakandarasi wa nchi zilizoendelea kiuchumi lazima tu wataweka mazingira ya kuwadukuaWachina washafunga camera na vin'gamuzi humo,Warundi wawaulize AU walichofanyiwa makao makuu huko Addis
Ndio haina uwezo.unaelewa vibaya,hujui mifumo ya misaada ya wahisani ilivyo,unaweza jengewa kituo cha afya na norway sio kwamba wewe huna uwezo,maktaba ya taifa ilijengwa na warusi,secondary bagamoyo ilijengwa na wacuba,raisi alimuomba mfalme wa morocco atujengee msikiti na uwanja wa mpira,ina maana tz haina uwezo?
Una pesa za kujenga uwanja wewe ...ukiona mtu kaomba ujue kitu hana uwezo nacho!!!unaelewa vibaya,hujui mifumo ya misaada ya wahisani ilivyo,unaweza jengewa kituo cha afya na norway sio kwamba wewe huna uwezo,maktaba ya taifa ilijengwa na warusi,secondary bagamoyo ilijengwa na wacuba,raisi alimuomba mfalme wa morocco atujengee msikiti na uwanja wa mpira,ina maana tz haina uwezo?
Rwanda ilikuwa chini ya ubelgiji pia,baada ya Ujeruman kushindwa vita.Kumbuka kabla ya vita ya kwanza Burundi, Rwanda na Tanganyika plus Namibia na nchi nyingine ziligawiwa kwa ujerumani according to Berlin Conference agreement tuliitwa German ost Africa. Walipozichapa wenyewe na mjerumani kushindwa, wale walioshinda waligawana makoloni. Tanganyika ikapewa UK under protectorate, Wabergigi wakapewa Burundi na Rwanda wakapewa Wafaransa ingawa kwa Rwanda sina uhakika.