Burundi: Serikali yasema Wachunguzi wa EAC watakaenda nchini humo kuchunguza Uchaguzi Mkuu watawekwa karantini ya lazima kwa siku 14

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Burundi ambayo inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu Mei, 20 mwaka huu imeonya kuwa kama Jumuiya ya Afrika Mashariki itatuma Wachunguzi, watawekwa karantini ya lazima kwa siku 14

Hii inamaanisha Wachunguzi hawatopata nafasi ya kufuatilia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kwa siku mbili kwasababu kila mtu anayeingia nchini humo anatakiwa kuheshimu utaratibu wa karantini

Hata hivyo, Serikali imeshauri Sekretarieti ya EAC kutumia Wajumbe wa Jumuiya hiyo ambao tayari wapo Burundi kwakuwa utaratibu wa kukaa karantini kwa wiki mbili hauwaathiri

=========

Burundi is scheduled to hold general elections on May 20, but has warned if the East African Community bloc sends elections observers, they will be placed under mandatory 14-day quarantine.

It means the election observers will not be able to follow-up the electoral process because the 14 days will elapse two days after the elections are held.

“It is mandatory for all persons, whether Burundians, Residents in Burundi or East African Community Citizens, entering the Republic of Burundi, to respect the fourteen (14) days quarantine period,” reads part of the letter written by Burundi government and signed on May 8.

However, the Burundian government proposed through the same letter that, “It is advisable that the EAC Secretariat should delegate among the stakeholders who might be already present in Burundi and to whom the 14-day quarantine doesn’t apply, to serve as the East African Community Technical Observation Mission.”

In one of the major controversies with Burundi elections, critics say the Independent National Electoral Commission has refused to publish the updated lists of eligible voters.

They argue that there is a possibility that numbers will be made up on Election Day.

1589088825321.png


1589088851501.png
 
Hayo maujanja naona wamepewa na wataalamu flani wa michezo hio wa Afrika Mashariki na kati.
 
Hawa observers hawanaga faida yoyote; wawepo wasiwepo hakuna tofauti! Hawajawahi kuwa na impact yoyote kwenye uchaguzi wowote!
 
Back
Top Bottom