Wananchi hawakutaki sasa utang'ang'aniaje kuwaongoza hata kama una haki.
Aondoke tuu bana watu watulie maana machafuko yamefika pabaya sasa.
Wananchi hawakutaki sasa utang'ang'aniaje kuwaongoza hata kama una haki.
Aondoke tuu bana watu watulie maana machafuko yamefika pabaya sasa.
Ni wananchi wangapi hawamtaki Bwana Pierre? Mleta uzi kasema waandamanaji wako Bujumbura peke yake, sasa wananchi wa Burundi si zaidi ya Bujumbura, naamini warundi wataamua, kama hawamtaki si wataacha kumchagua, shida iko wapi. Watulizane kwani tumechoka kuhifadhi wakimbizi bwana
Wanachokidai ni tofauti na kauli aliyoitoa, wao wanadai asigombee yeye anasema akichaguliwa safari hii hatogombea tena uchaguzi mwingne baada ya huu.
Rais Piere Ngurunzinza amefuta uamuzi wa chama chake nakutangaza kuwa HATAGOMBEA tena mhula mwingine.
Hongera nguvu ya umma, hii ni alama chanya kwa wanaukombozi wa Afrika hasa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete na Chama chako jiandaeni kisaikolojia mlikabidhi taifa bila damu wala chozi.
Wanachokidai ni tofauti na kauli aliyoitoa, wao wanadai asigombee yeye anasema akichaguliwa safari hii hatogombea tena uchaguzi mwingne baada ya huu.
@Yericko soma tena hapa
"I would like to assure the national
and international community that in
case I am elected now, this will be
my last term," he said in a
televised speech.
Ni wananchi wangapi hawamtaki Bwana Pierre? Mleta uzi kasema waandamanaji wako Bujumbura peke yake, sasa wananchi wa Burundi si zaidi ya Bujumbura, naamini warundi wataamua, kama hawamtaki si wataacha kumchagua, shida iko wapi. Watulizane kwani tumechoka kuhifadhi wakimbizi bwana
Nchi yenye watu milioni 10.16 halafu hawakutaki watu laki moja then eti unatoa conclusion kama hawakutaki uondoke. Hizi reasoning zingine bana sijui watu mnazitoaga wapi
Msemo wa pasco, zisipojaa zitajazwa tu!! lazima ashinde, tume ya uchaguzi yote ni wateule wake, unategemea nini? na kama umefuatilia kuna maswali 4,ambayo mawaziri wa nne wa mambo ya nje wa Tz, kenya, uganda na Rwanda wameenda nayo cjui kama ataweza kuyajibu!!! inaonekana hata wenzake wa EAC, watamtosa tu.Hivi ina maana ameshajihakikishia kuwa huo uchaguzi atashinda yeye?mimi nadhani hapo ndio pa kumkomesha kwa sababu inaonekana wengi hawamtaki basi kwenye sanduku la kura ndio pa kumuonyesha hayo ila kwa jinsi hali ilivyo naona hata hatakubali kushindwa huyu Mhutu....lazima aibe kura ili mradi awe Rais tena!
Bongo inabidi tufunge mpaka wetu na Burundi, Rwanda. Hawa jamaa wametapakaa wilayani kwetu NGARA na kuleta uovu na chuki zao za kijinga jinga hadi baadhi ya wanaNGARA wanaanza kuiga ujinga wa feature za pua zao. Rais wao ni Nkurunziza anatoka katika kabila gani? Anayejua aniambie please.
Hivi ina maana ameshajihakikishia kuwa huo uchaguzi atashinda yeye?mimi nadhani hapo ndio pa kumkomesha kwa sababu inaonekana wengi hawamtaki basi kwenye sanduku la kura ndio pa kumuonyesha hayo ila kwa jinsi hali ilivyo naona hata hatakubali kushindwa huyu Mhutu....lazima aibe kura ili mradi awe Rais tena!
Ni Muhutu.