Burundi picks a hill to launch fresh attack on Rwanda

Come on man, Banyamulenge are Congolese with Rwanda origin, when they attacked east Congo some of them were in FRDC and others were from RDF with some support of kagame. Remember S.A, Malawi and Tanzania were not fighting with Rwanda but Congolese rebels.
 

hACHA utoto wewe. Alimfanyia nini kikwete? Si alitandikwa kama paka shume na wahuni wenzake wa M23.......
Alimtisha kikwete na kikwete akamfanyia kweli kimya kimya. Kama huna la kuongea kaa kimya wewe.
 
Well said mkuu. Lazima Magu atakuwa upande wa nkuruzinza maana anamjua kagame ni muhuni. Na kama alimtisha kikwete akiwa rais ina maana hata magu kamtisha. Siku mzee magu atakapombadilikia Kagame ndo kagame atajua Watz ni watu wa namna gani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka aliniomba radhi yaishe, nani asiyejui hilo
kichwani kwako labda. Unajua maana ya kutoa ng'ombe kwa tamaduni za kihima?
 
Sasa kutana na kisiki cha mpingo Mzee Magu uone chezo lenyewe we boya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unatokwa povu utafikiri unaongea na Kagame kweli wtz bhana!
Relax kijana
 
hACHA utoto wewe. Alimfanyia nini kikwete? Si alitandikwa kama paka shume na wahuni wenzake wa M23.......
Alimtisha kikwete na kikwete akamfanyia kweli kimya kimya. Kama huna la kuongea kaa kimya wewe.
Ulishwawahi kutembelea au kuona keshi la Rwanda wakiwa kazini?
 
M23 ilikuwa ni jeshi la Rwanda kamili lililokuwa limevaa joho la uasi, lengo likiwa ni kuvuna utajiri wa madini ya Congo.
Na hakika Kagame alivuna dhahabu za mabilioni.
Hatamsahau JK....
 
Well said mkuu. Lazima Magu atakuwa upande wa nkuruzinza maana anamjua kagame ni muhuni. Na kama alimtisha kikwete akiwa rais ina maana hata magu kamtisha. Siku mzee magu atakapombadilikia Kagame ndo kagame atajua Watz ni watu wa namna gani.
sidhani kama anaweza kubadilika. ile ya kuitembelea nchi yake kuwa ya kwanza kuliko zote duniani ilionyesha watz tunajibembeleza kwa hao landlocked country, na Rwanda walichukua credit. sisi tulienda bila. katika avenue ya kimataifa, huwa ni marufuku kusualenda, labda mtu mwingine aje awaweke pamoja au yule aliyekosea aje mwenyewe, ila ukiona wewe uliyekuwa hauna kosa unafyata mkia, ni udhaifu mkubwa sana. unfortunately, kwasasa sidhani kama rais wetu ana uzoefu au nguvu yeyote kupeperusha bendera yetu ulingo wa kimataifa. inawezekana ni mgeni kwenye mambo hayo na Mungu hajamjalia kipaji hicho.
 
M23 ilikuwa ni jeshi la Rwanda kamili lililokuwa limevaa joho la uasi, lengo likiwa ni kuvuna utajiri wa madini ya Congo.
Na hakika Kagame alivuna dhahabu za mabilioni.
Hatamsahau JK....
lengo haliuwa hilo, lengo lilikuwa kuimega eastern congo ambayo 70% ni watu wenye asili ya Rwanda, ili iungene iwe nchi moja ya Rwanda ambao wana ardhi ndogo sana na population kubwa kuliko watu wote africa. hii ingesaidia wao kupumua kwasababu idadi ya watu Rwanda ni kubwa sana kulinganisha na nchi yao. hata mimi ningekuwa kagame ningefanya hivyohivyo. wakati mwingine simlaumu sana, sema labda iyo kuua watu ndio anakera.
 
Hebu tupe hiyo historia uliyoirejea
 
Composition of the rebel troops (M23) ilikuwa hivi:
95% of M23 were Rwanda Defence Force! Only 5% of M23 were Banyamulenge (Congolese with Rwanda origin)! It was confirmed by the UN probe team na hatimaye UN ika-engage SA, MAL & TZ forces kuwashughulikia!
 
Mkuu hebu fafanua zaidi, ilikuwaje kule wakati huo?
 
Hili jambo lingekwisha zamaaani kama JK angalikuwa madarakani. Nkurunzinza atakuwa anamuota sana JK
 
na JK alimfanya nini vile,au umesahau kwamba siku hizi hakuna kitu kinaitwa M23?,...umetumwa?
acha kumfananish JK na huyo Rais wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…