Burundi minister targeted grenade attack

Burundi minister targeted grenade attack

ndo maan tunasem maraisi ambao watakumbukw africa nzima ni nelson mandela na nyerere pekee,waliobaki ni kichefuchef viongozi wamejawa na tamaa ya madaraka awana hata roho ya huruma.ivi hata imani ya Mungu hauna,yani mtu ufikilii kuw kuny'any'ania kwako madarak kumesababish roho za watu wengi kuondok
 
na mwingine huyo... na AK-47
CHyXvSHUAAAzbd8.jpg
Wote tunaona vizuri sana kuwa hako katoto kanachapwa makofi na sio risasi. Ingawa hutaki kutoa picha za hao watoto huwa wanatumika vipi ngoja nikusaidie.
1432703148206.jpg

burundi-2_3301540b.jpg

2895C13D00000578-3078438-image-a-47_1431442534692.jpg

2895B5BD00000578-3078438-image-a-55_1431442615764.jpg

Huyu askari ni mwanamke angalia sindumuja wanavyomfanya.
51958785.jpg

1432703148206.jpg

_82613987_82613816.jpg
 
Attachments

  • upload_2016-4-25_19-56-38.jpeg
    upload_2016-4-25_19-56-38.jpeg
    10.8 KB · Views: 40
ndo maan tunasem maraisi ambao watakumbukw africa nzima ni nelson mandela na nyerere pekee,waliobaki ni kichefuchef viongozi wamejawa na tamaa ya madaraka awana hata roho ya huruma.ivi hata imani ya Mungu hauna,yani mtu ufikilii kuw kuny'any'ania kwako madarak kumesababish roho za watu wengi kuondok
Acha ushabiki, nyerere alikoswakoswa kupinduliwa mara nyingi kuliko Nkurunzinza ambaye ni mara moja tu! Je Nyerere alikosa uhalali wa kuwa kiongozi? Wewe ungekubali watu wake wauawe kama wanavyouawa watu wa serikali ya Nkurunziza.
 
wewe bana acha kuchanganya mambo! mbona unashindwa kutuambia chanzo?
KIOO kingine...
 
Wote tunaona vizuri sana kuwa hako katoto kanachapwa makofi na sio risasi. Ingawa hutaki kutoa picha za hao watoto huwa wanatumika vipi ngoja nikusaidie.
1432703148206.jpg

burundi-2_3301540b.jpg

2895C13D00000578-3078438-image-a-47_1431442534692.jpg

2895B5BD00000578-3078438-image-a-55_1431442615764.jpg

Huyu askari ni mwanamke angalia sindumuja wanavyomfanya.
51958785.jpg

1432703148206.jpg

_82613987_82613816.jpg
madai yao yanaeleweka lakini mshikaji wako Nkurumbi akaona bora awamwagie risasi! sasa we ulitaka wafanyeje?
 
Kila mtu anajua wewe ndio mpotoshaji, ndio maana kila siku unaanzisha ID mpya za kushindana na mimi na kuleta picha kuwa watu wenye mawazo yako wako wengi humu JF, cha kuchekesha unajisahau na kuanza kulumbana kwa kutumia ID pendwa. Kila mtu anaona jinsi unavyoanzisha mjadala na ID moja halafu ikijibiwa inakaa kimya wewe unaipokea. Tumia akili kidogo tu mkuu, si unajua penati ya uzembe wa kumuaibisha aliyekutuma?😀
Hili lijitu huwa linanichosha..likishindwa linaanza kusema sijui ID mpya, sijui nini..wewe si uko jamiiforums? haya tuambie hiyo ID mpya ya mchambawima1 ni ipi manake aki log in tu unamuona....usiogope kivuli chako wewe..jibu hoja
 
anatia huruma! kwani haujuwi wale aliowaroga na misumu yake hivi maziwa yameanza kuwaingia? wengi washa tapika misumu karibu yote, wengine yamewakolea hadi nyongo mkuu... sasa kama ingekuwa wewe ungefanyaje? lazima utafute visababu vya kupotezea jMali
 
hoja gani? we subili ndugu yako amalize mauwaji mpewe kioo mjitazame... na Bensouda kaanza kukitayarisha! nyie mnatufanya tuonekane waafrica wote ndio walewale... acheni kututia haibu na Nkurumbi wenu...
KIOO KINAANDALIWA!

Hakuna aliyemzuia bensuda kufanya uchunguzi, la maana atende haki tu. Je, paka atachunguzwa lini? Maana nae kwa kuua watu hajambo au kwa kuwa yupo under umbrella ya marekani/illuminat haguswi?
 
alafui jMali anajiuliza eti kwanini akiuliwa mtu wa kwenye serikali hatupigi kelele, wao ndio chanzo cha mgogoro vyuma na namlivyowashenzi bora hata ya wenzenu, nyie mnauwa raia wasiojuwa kinachoendelea, wasio na siraha tena wanawakuta majumbani kwao na kuuwa watoto, wanawake, wazee na vijana
Acha porojo zisizokuwa na ushahidi. Kama wanaua raia wasiokuwa na silaha, who is then killing government officials ? Naamini kuna mengi unayoyajua tena machafu ya hima empire but huyaelezi hadharani rather you spread propagandas.
 
Aliyokuwa anamtendea kiiza besigye ni sahihi ? Au kwa kuwa ni mtusi mwenzako ndio huyaoni maujinga yake ?
ndio, siyo sahihi! HUMANITY first my friend! wewe ukabila utakumaliza, usijilinganishe na mimi INTERNATIONAL we mchovu! nimeishi na ndugu zangu waki-Africa wa aina zote tena nchi tofauti, waarabu waliouzisha ndugu zetu katika biashara ya utumwa, wazungu ambao mababu na mababa zao ndio waliotufikisha hapa pote! hadi wachina walionilisha vitu vya ajabu-ajabu visivyoeleweka bila ufahamu... huo "Uhutu" au "Ututsi" uliowamaliza akili to me is just BULLSHIT! nyie watu wanafiki sana! juzi kati mlijifanya kumpenda sana Raisi mstaafu Kikwete kwa sababu alimrudisha kichaa wenu kazini aende akauwe vizuri... guess what? charity begins at home baby! anza mpendane, uwezi ukampenda wa nje kama ndugu yako mwenyewe hautaki hata kumsikia... kwani Besigye kauwawa? hiyo ndio tofauti yenu na BIG-minds za mtu kama Museveni! watu waliandamana tena maandamano makubwa lakini wakatulizwa bila kuuwawa! je ni sahihi? big NO! hivi uliwahi kuona maandamano ya against wall-street? waliuliwa wangapi? nyie watu sijuwi vipi, acheni unafiki! hiyo nchi yenu wote mpende msipende, je mnataka maisha ya kuendelea kuuwana milele? I don't think so! mkichinjana hata sisi wa huku nje tunawachukulia kama wauwaji tu, msije mkalalamika huko mbeleni... hence xenophobic attacks! like the one we saw in Zambia recently... hiyo mikosi mnayojipa, mkienda nchi za watu hata kama hamuhusiki, lazima mtakuwa washukiwa wa kwanza! utanisamehe lakini huo ndio ukweli au vipi jMali
 
Acha porojo zisizokuwa na ushahidi. Kama wanaua raia wasiokuwa na silaha, who is then killing government officials ? Naamini kuna mengi unayoyajua tena machafu ya hima empire but huyaelezi hadharani rather you spread propagandas.
Former President Ntibantunganya is right! so who is killing the opposition? only stupid minds talk of "Hima empire" in this 21st century! unbelievable!
 
Hakuna aliyemzuia bensuda kufanya uchunguzi, la maana atende haki tu. Je, paka atachunguzwa lini? Maana nae kwa kuua watu hajambo au kwa kuwa yupo under umbrella ya marekani/illuminat haguswi?
usimfananishe MWANA-MAPINDUZI His excellency P. Kagame na hao wachovu wako wasiojielewa! jMali
 
Lakini haijakatiwa misaada hadi Leo! Ndio ujiulize kwa nini? Ila kwetu walileta mikwara kibao.
nani kakwambis,misaad karibu yote ilishafutw wakwanz walikuw wa belgium wakafatia marekan wakaja na europe wamwisho walikuw wafaransa
 
Back
Top Bottom