Burundi minister targeted grenade attack

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,404
4,973
Burundi's Human Rights Minister Martin Nivyabandi and his wife were lightly injured Sunday in a grenade attack as they were leaving a church in the capital Bujumbura, the city's mayor told AFP.

"A grenade was thrown in the car park of the Healing of the Souls church in Nyakabiga," mayor Freddy Mbonimpa said, referring to a neighbourhood in the city-centre.

"They were very lightly injured by the explosion and their vehicle was badly damaged. They only had a few scratches and were discharged after treatment in a hospital," he added.

The mayor said "armed criminals" were behind the attack, a term used by Burundian officials to refer to members of rebel groups opposed to President Pierre Nkurunziza.

Burundi has been in turmoil since Nkurunziza decided to run for a third term, which he went on to win in July 2015, with violence leaving more than 500 people dead. More than 270,000 people have fled the country.

Numerous politicians, civil society leaders and army officers have been killed or narrowly escaped attacks since the start of the crisis.

Such attacks are never claimed, with both sides systematically denying any responsibility.

Burundi minister targeted in grenade attack
 
ila hii staili nimeipenda,wale ambao wanausika kweny uwongoz ndo wanakuw walengw wa kifo.sio unauwa wasiokuw na hatia
 
interesting, hebu tuambie, upande wa uongozi kosa lao ni nini hasa mpaka wauawe? Kufanya uchaguzi?
 
Utakuwa ccm ww
CMM? acha kukufuru mkuu! hilo ni Interahamwe, usimfananishe na binadamu wa kawaida... hao ndio wale x-tremist wa
HUTU-POWER! sio watu wakawaida ndio maana wameamuwa kubakia huko machimbo, kazi yao ni kuzuia ndugu zao wasio share ideology eti kisa Kagame anaongoza nchi! tabu kwelikweli...
 
Hata CCM wanastahili kujibiwa, jibu hoja tafadhali.
hoja gani? we subili ndugu yako amalize mauwaji mpewe kioo mjitazame... na Bensouda kaanza kukitayarisha! nyie mnatufanya tuonekane waafrica wote ndio walewale... acheni kututia haibu na Nkurumbi wenu...
KIOO KINAANDALIWA!
 
interesting, hebu tuambie, upande wa uongozi kosa lao ni nini hasa mpaka wauawe? Kufanya uchaguzi?
usijifanye chizi! hebu tuambie Nkurunziza kaongoza miaka mingapi? labda tuanzie hapo... sitaki yale majibu yako ya mkato, ooh sijuwi Kagame mara nini... kwa sababu haujatuona tukiandamana kumpinga! haya nieleweshe vyuma
 
ila hii staili nimeipenda,wale ambao wanausika kweny uwongoz ndo wanakuw walengw wa kifo.sio unauwa wasiokuw na hatia
alafui jMali anajiuliza eti kwanini akiuliwa mtu wa kwenye serikali hatupigi kelele, wao ndio chanzo cha mgogoro vyuma na namlivyowashenzi bora hata ya wenzenu, nyie mnauwa raia wasiojuwa kinachoendelea, wasio na siraha tena wanawakuta majumbani kwao na kuuwa watoto, wanawake, wazee na vijana
 
wao ndo wanaosababisha mkruzinza kuendelea kuwepo
wao hawakuua mtu yoyote ili Nkurunziza aendelee kuwapo. Hawakutumia mtutu bali sanduku la kura, upande wa pili ulifanya mapinduzi ya kumwaga damu na kusababisha watu wakimbie ukimbizini kuhofia usalama wao. Kwa nini unadhani ni busara wao kuuawawa?
 
kwa sababu ni wauwaji!
 
hoja gani? we subili ndugu yako amalize mauwaji mpewe kioo mjitazame... na Bensouda kaanza kukitayarisha! nyie mnatufanya tuonekane waafrica wote ndio walewale... acheni kututia haibu na Nkurumbi wenu...
KIOO KINAANDALIWA!

Usikariri mambo, ICC itahukumu hao waasi sio serikali. Hujaona ndugu yako Bosco Ntaganda anajibu mashtaka wakati Joseph Kabila yuko madarakani?
 
usijifanye chizi! hebu tuambie Nkurunziza kaongoza miaka mingapi? labda tuanzie hapo... sitaki yale majibu yako ya mkato, ooh sijuwi Kagame mara nini... kwa sababu haujatuona tukiandamana kumpinga! haya nieleweshe vyuma
Chizi ni wewe unayedandia maswali ya watu wakati kumbe hata uwezo wa kujadili huna. Nkuruzinza kuongoza miaka mingapi haina uhusiano wowote na kinachoendelea. Unataka kusema itakuwa haki kwa waasi kuua viongozi wa serikali ya Uganda kwa kuwa Museveni kakaa sana madarakani?
 
alafui jMali anajiuliza eti kwanini akiuliwa mtu wa kwenye serikali hatupigi kelele, wao ndio chanzo cha mgogoro vyuma na namlivyowashenzi bora hata ya wenzenu, nyie mnauwa raia wasiojuwa kinachoendelea, wasio na siraha tena wanawakuta majumbani kwao na kuuwa watoto, wanawake, wazee na vijana
Chanzo cha mgogoro kivipi? Wao walifanya nini? Kila mtu anajua mgogoro ulisababishwa na mapinduzi na sio Nkuruziza. Kazi yako ngumu sana aisee, maana inabidi ujitoe akili kabisaaaa.
 
Usikariri mambo, ICC itahukumu hao waasi sio serikali. Hujaona ndugu yako Bosco Ntaganda anajibu mashtaka wakati Joseph Kabila yuko madarakani?
serikali gani ambayo inandelea na uchaguzi wakati wapinzani wameugomea kutoka na kukiukwa kwa sheria walizojiwekea wenyewe mbele ya umati wa watu wazito pale Arusha?
 
Chizi ni wewe unayedandia maswali ya watu wakati kumbe hata uwezo wa kujadili huna. Nkuruzinza kuongoza miaka mingapi haina uhusiano wowote na kinachoendelea. Unataka kusema itakuwa haki kwa waasi kuua viongozi wa serikali ya Uganda kwa kuwa Museveni kakaa sana madarakani?
kwani Museveni uliona akiuwa waandamanaji? Interahamwe bana duh
 
Chizi ni wewe unayedandia maswali ya watu wakati kumbe hata uwezo wa kujadili huna. Nkuruzinza kuongoza miaka mingapi haina uhusiano wowote na kinachoendelea. Unataka kusema itakuwa haki kwa waasi kuua viongozi wa serikali ya Uganda kwa kuwa Museveni kakaa sana madarakani?
kama unakumbuka victim wa kwanza wa Nkurumbi alikuwa ni mtoto mdogo SCOUT! remember?
 
serikali gani ambayo inandelea na uchaguzi wakati wapinzani wameugomea kutoka na kukiukwa kwa sheria walizojiwekea wenyewe mbele ya umati wa watu wazito pale Arusha?
1. kwa kuendelea na uchaguzi ni watu wangapi walikufa? How does that justify mauaji! yani nyie watu ajabu kweli kweli. Mbona zanzibar uchaguzi umefanyika kibabe na hakuna mtu aliyepoteza maisha?
2. Mbona wapinzani hao wameshindwa mahakamani na hawataki kwenda mahakama za juu zaidi? Mahakama mbili zimekubali haki ya nkuruzinza kugombea, hao watu wanaoua wenzao wao wana ushahidi gani wa kitaaluma kuwa nkurunzinza hana haki?
 
Back
Top Bottom