Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
Tanzania ni chanzo cha mgogogro wa Burundi na ushahidi ni kuwa huyo Nkuruzinza nakumbuka alikuwa pale Arusha wakati mkataba wa amani unasainiwa.
Walikubaliana kuwa hakuna raisi ambaye atachaguliwa na wanannchi ambaye atakaa kwenye ofisi kwa term zaidi ya 2.Sasa huyu bwana na hao wajinga wenzake hawajui kuwa wabunge ni sehemu na wawakilishi wa wananchi?
Kwa vyovyote vile ni Tanzania ndio inaumia adhari ni hizi zifuatazo
- Uharibifu wa mazingira
- Uhaamiaji haramu
- Uingizaji wa silaha
- Mlipuko wa magonjwa kama kipindu pindu etc
- Hatari ya kusafirisha magonjwa kama polio
- Hatarishi kwa usalama
- Gharama za maisha kuwa kubwa eneo la wakimbizi
Kwa hiyo Tanzania ndio inachangia matatizo ya Burundi kwa sb inakaa kimya wakati sisi ndio tuna umia.
Suala lingine ambalo lazima vyombo vya usalama vichunguze ni hii deal ambayo inaonekana raia wa burundi wanatumia nafasi kama hii kuja Tanzania kama wakimbizi lakini kumbe ni wahaamiaji haramu,wamejaa Geita,Sengerema,Geita,Ukerewe,Musoma,na Mikoa ya kati kati ya nchi na Kigoma kwenyewe,Rukwa na Katavi.
Na toa wito kwa serikali ya Tanzania kuwa mkali kwa huyu mtu ambaye anataka kuleta matatizo na kutupa shida ya wakimbizi tena.
Mkumbusheni kuwa je anajua bado tuna watu wa burundi hapa,na wengine 160000 tumewape uraia.
Uraia wa karatasi unaondolewa hivyo akiwa mbishi mpeni watu wake aende nao.