Burundi calls for special summit over Rwanda row

Burundi calls for special summit over Rwanda row

Ina maana Slim haja kalkuleti risk ya vita aone hali ikoje aache choko choko??
Au ka vile Mganda yuko karibu anapata kiburi??

Msimamo wa chini ya kapeti wa Tanzania juu ya hii tension ukoje??
Mkuu usiwe msahaurifu, mgogoro wa Uganda na Rwanda ni mkubwa kuliko Burundi na Rwanda.

Na wao wanafanyiana timing, kagame alitaka kumpindua na kumkil M7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiwe msahaurifu, mgogoro wa Uganda na Rwanda ni mkubwa kuliko Burundi na Rwanda.

Na wao wanafanyiana timing, kagame alitaka kumpindua na kumkil M7

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kiburi cha Rwanda kinatoka wapi??
Japo ni ngumu sana kwa Museveni kumuacha Kagame wakati wa shida, ila inaonekana kuna mahali Kagame anapata kiburi.

Isije kuwa USA na EU wapo nyuma ya pazia.
 
Ina maana Slim haja kalkuleti risk ya vita aone hali ikoje aache choko choko??
Au ka vile Mganda yuko karibu anapata kiburi??

Msimamo wa chini ya kapeti wa Tanzania juu ya hii tension ukoje??
slim ni war monger

uganda wenyewe wanamtamani

tz now anakatabia ka ubepari nadhan ataangalia maslai tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kuepusha gharama Na maafa ikitokea nchi zinataka kupigana ingekua inatayarishwa sparing kwenye neutral ground halafu marais ndio wanapigana mshindi anatawala kote Ingekua safi
Nina Hakika asingekuwepo mchokozi
 
Nawacheki wachambuzi wa kivita afu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,hahah.
 
Back
Top Bottom