pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
hivo hivo
hivo hivo
Tanzania wako upande wa Burundi mkuu
Data hizo ni muhimu sana maana PK naye kafanya manunuzi ya Air defence toka Russiawiki ijayo burundi wanapokea 21 tank from bulgaria pia makomando wao waliokuwa kozi urusi wameitwa
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimeliona jina la jiwe slim na for life mbona mimi sihusiki nao hao jamaa Hahaha just kidding
Haaa haaa yaani zipigwe mtu mbili..!!Ili kuepusha gharama Na maafa ikitokea nchi zinataka kupigana ingekua inatayarishwa sparing kwenye neutral ground halafu marais ndio wanapigana mshindi anatawala kote Ingekua safi
Nina Hakika asingekuwepo mchokozi
Air defence haitomsaidia saana maana burundi hawana fighter ya kuelewekaData hizo ni muhimu sana maana PK naye kafanya manunuzi ya Air defence toka Russia
Kwa hio mkuu wewe unahisi unajua mahitaji ya jeshi kuliko Kagame na Wanajeshi wake?Air defence haitomsaidia saana maana burundi hawana fighter ya kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
hyoS-200 itamsaidia nn atakapokuwa anapigana na nchi ya EA ?Kwa hio mkuu wewe unahisi unajua mahitaji ya jeshi kuliko Kagame na Wanajeshi wake?
So mkuu kuna uwezekano wewe umeshapigana vita nyingi/una uzoefu wa kuelewa mazingira ya kivita Ya Rwanda/Burundi kuliko Kagame sio mkuu?hyoS-200 itamsaidia nn atakapokuwa anapigana na nchi ya EA ?
kuna vita yoyote ile ambayo ndege ndio zilizoteka eneo?
kwa africa silaha ya kuogopwa ni ant tank
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa angu tangu siku 1 nimeona umemjibu jamaa mmoja kwamba kwamba wewe unapendaga kubishana tu ilimradi ubishe tu,hata muda wa kukubishia nakosaga aisee.ndio nimepigana liberia,chad,bulgaria,niger, na kwingineko
unajua kwann tz wamewekeza saana kwenye jeshi la aridhi na sio anga?
uganda ina ndege bora zaid ya kenya lkn why kenya ipo juu kijeshi kuliko uganda?
Sent using Jamii Forums mobile app
sio mm huyo[emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamaa angu tangu siku 1 nimeona umemjibu jamaa mmoja kwamba kwamba wewe unapendaga kubishana tu ilimradi ubishe tu,hata muda wa kukubishia nakosaga aisee.
Kabisa Yaani ukichapa mtu adabu inarudi haraka sanaHaaa haaa yaani zipigwe mtu mbili..!!
We jamaa unafaa kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa!!..korea kaskazini na marekani wakizinguana ,haya trump na bonge zipangwe mtu mbili hapo..
Source of your information.....wiki ijayo burundi wanapokea 21 tank from bulgaria pia makomando wao waliokuwa kozi urusi wameitwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa .. hii safi Sana ingeepusha maafa kwa raia na rasilimali zao ..Ili kuepusha gharama Na maafa ikitokea nchi zinataka kupigana ingekua inatayarishwa sparing kwenye neutral ground halafu marais ndio wanapigana mshindi anatawala kote Ingekua safi
Nina Hakika asingekuwepo mchokozi
Daahh kumbe wanamvizia ... inaweza ikawa wamemtuma nkirunziza aanzishe choko choko ili wamdunde mande ..kimya kimya kwa kum-fund burundi silahaMm ninakwambia kitanuka tu and Mr. Slim should play this game nicely..........kuna mtego mkubwa sana kwake hapa na kama sio msoma nyakati hili dimbwi havuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuhh "Mkuu usiwe msahaurifu, mgogoro wa Uganda na Rwanda ni mkubwa kuliko Burundi na Rwanda.
Na wao wanafanyiana timing, kagame alitaka kumpindua na kumkil M7
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatua nzuriwiki ijayo burundi wanapokea 21 tank from bulgaria pia makomando wao waliokuwa kozi urusi wameitwa
Sent using Jamii Forums mobile app