Burundi Blocks Foreigners at Border as Violence Escalates

Burundi Blocks Foreigners at Border as Violence Escalates

Nadhani umefika wakati hizi sheria za kimataifa zirekebishwe,ili mtu kama huyu atolewe kibabe kwa maslahi y raia wa buru
Nkurunzinza anadai kuwa eti, ile term yake ya kwanza alipewa mezani, hivyo basi haiwezi kuhesabiwa. Kazi kweli kweli.
 
Nkurunzinza anadai kuwa eti, ile term yake ya kwanza alipewa mezani, hivyo basi haiwezi kuhesabiwa. Kazi kweli kweli.

Ha ha ha...yetu macho...jamaa alianza na kutimua...katimua vibosile wote waliokuwa wazi kumpinga...lakini watu wa Burundi wameamua kuingia mtaani hadi kieleweke...

Badala astahafu kwa heshima anataka kuwa next candidate wa The Hague...
 
Ni ushauri mzuri. lakini wale jamaa hawana tofauti na zile tawala za akina Kagame na Museven wanaotaka kufia madarakani.
kwa utawala wa Pierre kwa watu wa Burundi hapakuwa na hofu yoyote kwake. Wengine wanahofu kuwa watashitakiwa kwa mambo waliyoyatenda madarakani lakini huyu alikuwa amefanya relatively vizuri sasa anajiharibia!
 
Tanzania should put its army ready for any intervention as this violence will attract Kagames and other warlords inside and outside Burundi to impose people of M23 type to take power by force, let alone saving lives of innocent people

Umeyatathimin kwa kina hayo
 
kama hujui siasa za wahutu na watutsi unaweza kudhani hivyo, nenda chunguza hao wanaokwenda rwanda ni kabila gani, kabila litakalokuja kuomba hifadhi TZ sio hao wanaokwenda Rwanda, ngoma ikinoga na wao watakuja bongo au wataenda DRC

cc:
makoye78

Hakuna uwezekano kweli pk kuwasaidia jamaazake?
 
Why should they care if we dont care about ourselves? AU ipo tu imekaa kimya. Tatizo Afrika viongozi wanafiki wanaogopa kuambiana ukweli ndiyo maana unawaona kimya wataanza kujikosha damu ikimwagika na lawama kwa nchi za Ulaya na Marekani eti waliona dalili za umwagaji damu ila hawakuchukua hatua.

Pia ujue waokwa wao hudharauliana, nibora ushauri utoke ulaya si africa
 
Ha ha ha...yetu macho...jamaa alianza na kutimua...katimua vibosile wote waliokuwa wazi kumpinga...lakini watu wa Burundi wameamua kuingia mtaani hadi kieleweke...

Badala astahafu kwa heshima anataka kuwa next candidate wa The Hague...
Mugabe style. Hawa watu itabidi waelewe kuwa Africa sasa sio ile ya miaka ya 70. They don't get it.
 
Ina maana watusi ndo wanataka kuchukua nchi? au? Huyu nkuruzinza ni mhutu au mtusi? Nafikiri kuna mambo fulani yamejificha. Siyo tu mtu kungangania madaraka.
 
Mugabe style. Hawa watu itabidi waelewe kuwa Africa sasa sio ile ya miaka ya 70. They don't get it.

Siyo Mugabe style mkuu. Mugabe ile ni external force ndo ilikuwa inampa kiburi tshevangilai
 
Nadhani umefika wakati hizi sheria za kimataifa zirekebishwe,ili mtu kama huyu atolewe kibabe kwa maslahi y raia wa buru

Museveni, Kikwete, Uhuru Kenyatta na Kagame kama EAC summit mnasubiri nini kumkemea mwenzenu Nkuruniza? Hiyo federation mnayotaka kutuletea itawezekanaje kama hamwezi kukemeana na kuimarisha amani katika Jumuiya yetu? Au na ninyi mna mawazo ya kung'ang'ania madaraka? Hatukubali federation ya marais wahuni!
 
Taarifa ya habari ya leo inasema warundi zaidi ya 300 wamekuja kuomba hifadhi bongo. Naombeni kwa leo niji-quote hahaahaha.

Back
Top Bottom