Museveni: 29 years in power na bado anataka
Kagame: 21 years in power na bado anataka
Uhuru: kashinda kesi ICC kimagumashi baada ya mashahidi kupotea potea
Kikwete peke yake ndio anaweza kumkemea Nkurunzinza lakini je given CV za hao jamaa hapo juu italeta maana? Actually, ni rahisi zaidi kwa kikwete na yeye kung'an'gania madaraka kama wenzie maana so far Tanzania ndio ya tofauti! Nkurunzinza akiuliza "na hawa je" kikwete atajibu nini, Nkurunzinza angalau ana kisingizio kinachojadilika nacho ni utata wa katiba, huwezi kudai the same kwa mtu kama museveni.