Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema hayo Februari 14, 2026, wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu.
"Ushawishi wa CCM kwasasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%, pia idadi ya watu waliotoka kwenda kupiga kura ya mwaka 2025 ukilingalisha na ya miaka iliyopita iko tofauti kabisa"