ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Aug 10, 2012 #2 yaan........
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Aug 10, 2012 #3 Sio siri, nimeburudika mkuu
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Aug 10, 2012 #4 Ndallo kwa kweli toka siku ianze nilikuwa sijacheka ila hapa nimejikuta ninacheka peke yangu,pokea like hiyo... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ndallo kwa kweli toka siku ianze nilikuwa sijacheka ila hapa nimejikuta ninacheka peke yangu,pokea like hiyo...
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 10, 2012 Thread starter #5 St. Paka Mweusi said: Ndallo kwa kweli toka siku ianze nilikuwa sijacheka ila hapa nimejikuta ninacheka peke yangu,pokea like hiyo... Click to expand... Umeona sio? kumbe Mademu huwa wanapewa kipaumbele kuliko Wanaume! Hahahaaaaa!!!
St. Paka Mweusi said: Ndallo kwa kweli toka siku ianze nilikuwa sijacheka ila hapa nimejikuta ninacheka peke yangu,pokea like hiyo... Click to expand... Umeona sio? kumbe Mademu huwa wanapewa kipaumbele kuliko Wanaume! Hahahaaaaa!!!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Aug 10, 2012 #6 hahaha ndo ukweli wenyewe
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Aug 10, 2012 #7 Ndallo said: Umeona sio? kumbe Mademu huwa wanapewa kipaumbele kuliko Wanaume! Hahahaaaaa!!! Click to expand... Kuna msemo wa kiswahili huwa wanasema kunya anye kuku akinya bata wanasema kahara,kwa picha hiyo inaonyesha wazi kabisa kuwa ni mambo mengi sana wanayafanya hawa wenzetu na watu wla hawahangaiki nao lakini ukifanya mwanaume basi utakiona
Ndallo said: Umeona sio? kumbe Mademu huwa wanapewa kipaumbele kuliko Wanaume! Hahahaaaaa!!! Click to expand... Kuna msemo wa kiswahili huwa wanasema kunya anye kuku akinya bata wanasema kahara,kwa picha hiyo inaonyesha wazi kabisa kuwa ni mambo mengi sana wanayafanya hawa wenzetu na watu wla hawahangaiki nao lakini ukifanya mwanaume basi utakiona
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Aug 10, 2012 #8 niceeeeeeeeeee
m_kishuri JF-Expert Member Joined Jan 27, 2010 Posts 1,484 Reaction score 372 Aug 10, 2012 #10 Ha ha ha haaaa! Mkono mtupu haulambwi.
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Aug 10, 2012 #11 Kweli ni kuburudika,ujumbe mzito sana
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Aug 11, 2012 #12 Ila kuna umuhimu wa kuwafundisha waiters na waitresses kuwapa wanawake kipau mbele kwenye swala la bills! Ladyz first.
Ila kuna umuhimu wa kuwafundisha waiters na waitresses kuwapa wanawake kipau mbele kwenye swala la bills! Ladyz first.